Zumbemkuu amempoteza Baba yake Mzazi

Zumbemkuu amempoteza Baba yake Mzazi

Pole Sana zumbemkuu

Mungu awape uvumilivu ktk hiki kipindi Kigumu.
 
Last edited by a moderator:
pole sana zumbemkuu.Mungu awape faraja kwenye wakati Huu mgumu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana zumbemkuu Mungu awape subra katika kipindi hiki kigumu. Amin
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu zumbemkuu,Mungu akupe subira katika kipindi hiki kigumu.
 
Last edited by a moderator:
Pole Zumbemkuu
Mungu awape ustahamilivu katika wakati huu mgumu

 
Pole sana kaka zumbemkuu, Mungu awatie nguvu kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
R.I.P Baba yake rafiki yetu zumbemkuu.
Apumzike kwa amani baba yetu.

Asante mpwa Elli kwa taarifa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom