Wana ukumbi, zumbemkuu amefiwa na Baba yake Mzazi leo, taarifa zaidi zitafuata kuhusu kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Lushoto Mlalo kwenye nyumba yake ya milele. Msiba uko Mbezi Makabe kwa Zumbemkuu
Pole nyingi sana kwako mkuu zumbemkuu kwa msiba huu mzito.Mungu akupe uvumilivu na ujasiri kwenye kipindi hiki kigumu sana kwako na familia kwa ujumla.
Sote njia yetu ni moja inatuuma wapendwa wetu kutangulia.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ😉 is a verse of the Quran which means Surely we belong to Allah and to Him shall we return.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.