Zumbemkuu amempoteza Baba yake Mzazi

Zumbemkuu amempoteza Baba yake Mzazi

Dah! Ajabu hii taarifa ndio naiona muda huu, kwa kweli ni Msiba mkubwa sana, tumuombee ndugu yetu zumbemkuu Mwenyezi MUNGU ampe moyo wa subira. Asante sana Elli kwa taarifa, huku Mwanza tuko pamoja nanyi.

Mpwa pole sana, tunaaga kesho then safari ya Mlalo itaanza jioni. Ntakua na Zumbemkuu jioni ya leo Mungu akipenda
 
Last edited by a moderator:
wakuu nawashukuruni sana sana, tumeshampumzisha mzee wetu salama na sasa tumesharudi dsm. Mwenyezi mungu awabariki.
 
zumbemkuu pole sana ndg yangu...japo taarifa naiyona leo si vibaya nami nikikupa pole...Mungu akufanyie wepesi katika hili
 
Last edited by a moderator:
zumbemkuu nawanafamilia wote poleni kwa msiba huu mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom