Special thread: Uzoefu, Ushauri kuhusu best Web Designing, Developing na Programming

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,132
Wanajukwaa!

Sio siri kuwa website ina nuru kubwa na taswira pana sana ya tech! Na kuzingatia hili ndo maana nikaleta special thread hii kwa ajili ya kujadili, ku share na kushauriana kuhusu haya maswala ya web hususan designers and developers!

Tanzania tuna designers, developers na programmers wengi sana kuanzia individuals to corporates. Ndani yao kuna wenye kazi zilizotuka lakini kwa bahati mbaya sana jamii pana ya watanzania haiwafahamu sana, na wangepaswa kufahamika kwa fahari ya nchi yetu na kwa minajili ya kibishara pia. Dunia ni biashara.

Naomba tu share kuhusu umahiri wa kazi zao pamoja na ushauri wa wadau mbalimbali kuhusu kazi zao za web.

NB:
Huu uzi hauna maana ya kuponda kazi za watu la hasha! Msingi wa uzi huu ni kushauriana kuhusu webites pamoja na kupeana uzoefu wa hapa na pale! Kupitia uzi huu wafanyabiashara wenye nia na lengo la kuanzisha web zao ama ku develop watanufaika. Hata wale developers wachanga watapata kufahamu wapi na kwa nani wanaweza kufanya consultation pindi wakikwama kwenye kazi zao za coding!

Tujumuikeni hapa!
 
1. Sisi tupo vizuri katika SOFTWARE DEVELOPMENT and PROGRAMMING

2. Kuna hawa wanaitwa Hossana Technologies, wapo vizuri sana.

Pamoja
 
What what what !
Am getting a hard time to understand the real thread intention, but atleast am trying my level best to cohere with it.

Thread title is what give me eyes cancer cuz it explaining about best Programmers or Devs, but if we are real going to deal about them, then we are going to be small minds who discuss about people n not ideas i can say this absolutely however we shall deal with works.

But add to that if we shall take works into concideration and not them personally then me i can see nice gifted works at Hossana Higher Tech, Watabelabs e.tc
may be cuz ain't see any of there page which is down for maintainance.

Quality breeds quality.
snipa
 
Last edited by a moderator:
Nimeshindwa kubadilisha title ya heading...plz mods tieni mkono hapo isomeka hv:
[h=2]Special thread: Uzoefu, Ushauri kuhusu best Web Designing, Developing, Programming ndani na nje ya Tanzania[/h]
 
What what what !
Am getting a hard time to understand the real thread intention, but atleast am trying my level best to cohere with it.

Thread title is what give me eyes cancer cuz it explaining about best Programmers or Devs, but if we are real going to deal about them, then we are going to be small minds who discuss about people n not ideas i can say this absolutely however we shall deal with works.

But add to that if we shall take works into concideration and not them personally then me i can see nice gifted works at Hossana Higher Tech, Watabelabs e.tc
may be cuz ain't see any of there page which is down for maintainance.

Quality breeds quality.
snipa

Yeah, Yeah you mastered the topic! Scored 100% congrats!
 
Back
Top Bottom