Nilipoona jina la song sikuwa na mzuka wa kucheki ila baada ya kuanza kuisikia Huu wimbo ukipigwa kwa jinarani yangu nikaanza kuupenda taaratibu ila niliukubali Jana aisee kwenye daladala Ni wimbo mzuri