crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,410
- 3,376
Zuchu ndiyo nani?
Huyu hapa
anabebwa wapi wakati takwimu zipo wazi kuwa anafanya vizuri.Unajua huwa kuna gold-plated Bars na Pure gold bar. Haya makitu huwa yanatofautiana thamani.
Huyu binti nimeshaona watu wengi wanalalamikia sana kutoka kwake.
Mwanzo nilihisi kuwa ni chuki tu za haters ila as it goes naanza hata mimi kunotice kuwa she is being overrated na anakuwa anabebwa na promo za kimtandao bila kuproove uwezo kwa utunzi na kuimba kazi nyingi.