Zuchu achaguliwa tuzo ya Afrimma

Zuchu ndiyo nani?
Huyu hapa
Unajua huwa kuna gold-plated Bars na Pure gold bar. Haya makitu huwa yanatofautiana thamani.

Huyu binti nimeshaona watu wengi wanalalamikia sana kutoka kwake.

Mwanzo nilihisi kuwa ni chuki tu za haters ila as it goes naanza hata mimi kunotice kuwa she is being overrated na anakuwa anabebwa na promo za kimtandao bila kuproove uwezo kwa utunzi na kuimba kazi nyingi.
anabebwa wapi wakati takwimu zipo wazi kuwa anafanya vizuri.
 

Attachments

  • b9892223a992cf3ed3616867b35a8b73.jpg
    b9892223a992cf3ed3616867b35a8b73.jpg
    115.7 KB · Views: 2
Huyu msanii Kuna stage ameziruka atakuja kuzipitia baadae na majuto kibao wanaomsimamia wanamtengenezea bomu mbeleni
Sawa shehe shalifu mtabili, mbona Rihana wa jz amefanikiwa ikiwa yeye pia ametengenezwa kama Zuchu tu.
 
Mziki Ni zaidi ya kuimba tungekuwa tunatoa madaraja kutokana na kijaji wasanii Kama barnaba,Rama Dee,Ben pol wangekuwa top artists zaidi ya Diamond na Alikiba.
Kwa hapa tumeenda sawa hao wamekosa management
Lakini je unapinga kwamba zuchu ana kipaji kuliko ruby?
Management yenye ndo itapush mziki wako na kipaji chako kidogo
 
Kwa hapa tumeenda sawa hao wamekosa management
Lakini je unapinga kwamba zuchu ana kipaji kuliko ruby?
Management yenye ndo itapush mziki wako na kipaji chako kidogo
pancho boy Mbona hata harmonize ana talent ndogo mbona WCB walimpromote na akawa mkubwa? Huwezi ukasema msanii anajua Sana lakini tatizo lake Ni management kwani huyo msanii alitumwa kuwa na hiyo management? Au fulani anabebwa kwasababu ya management mziki Ni promo na bila promo ukui na ndio Hali halisi ilivyo huyo Ruby ukimweka na Zuchu mashabiki wengi wataenda kwa zuchu as the same ukimweka pia na nandy fans wataenda kwa nandy je jiulize Kwanini ana power ya convince mashabiki japo ana kipaji kikubwa?
 
Mbona hata harmonize ana talent ndogo mbona WCB walimpromote na akawa mkubwa? Huwezi ukasema msanii anajua Sana lakini tatizo lake Ni management kwani huyo msanii alitumwa kuwa na hiyo management? Au fulani anabebwa kwasababu ya management mziki Ni promo na bila promo ukui na ndio Hali halisi ilivyo huyo Ruby ukimweka na Zuchu mashabiki wengi wataenda kwa zuchu as the same ukimweka pia na nandy fans wataenda kwa nandy je jiulize Kwanini ana power ya convince mashabiki japo ana kipaji kikubwa?
Umeanza pumba hivi show zake ruby unaziangaliag kweli?
 
Back
Top Bottom