Zubaa ulizwe... Stori Katika picha

Zubaa ulizwe... Stori Katika picha

Wewe msahaulifu sana kama namba ya pikipiki hukumbuki utakumbuka kweli sababu ya kuibiwa?

Waliniibia sababu ya tamaa zao tu.
First time niliibiwa saa 7 usiku

Sec time niliibiwa saa saba mchana nikiwa natoka sokoni,wakakwapua pochi ambayo haikuwa na kitu cha maana,kulikuwa na elfu 1,lipbam na niliweka njegere .Simu ilikuwa kwny mfuko wa suruali.
Bora hata wangeiba mfuko wenye mazaga zaga ya sokoni.
 
Kumbe ile mipochi mikuuubwa ya masista du mjini huwa mnaweka buku buku ukiacha simu..

Wezi wanakuona ujue
Waliniibia sababu ya tamaa zao tu.
First time niliibiwa saa 7 usiku

Sec time niliibiwa saa saba mchana nikiwa natoka sokoni,wakakwapua pochi ambayo haikuwa na kitu cha maana,kulikuwa na elfu 1,lipbam na niliweka njegere .Simu ilikuwa kwny mfuko wa suruali.
Bora hata wangeiba mfuko wenye mazaga zaga ya sokoni.

Sent using Unknown device
 
Kama ni kweli una roho m###y.
Ndio maana mm tukiwakamata hawa tunawakata mshipa wa kisigino miguu yote miwili halafu nachukua maji unamjaza sikioni huku ukimshindilia makofi masikion maji yale yakizama sikion kwa pressure yanaenda kupasua ngoma ya sikio.... Halafu mnamwachia... Akitoka hapo anakuwa kiziwi na kitembea hawezi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom