Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Mkuu wanatia hasira hao acha kabisa....Mgirik ulixhofanya sio fair asee,,, nmecheka sana hadi jamaa zangu wameshindwa kunielewa kabisa licha ya kuwaelezea tukio!
SIPATI PICHA UNAVYOSHINDILIA MAJI SIKIONI KWA MAKOFI,, AF MAJI YANAPASUA NGOMA YA SIKIO! Hiki ndio kilicho nivunja mbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku moja walimburuza chini mke wangu tena akiwa mja mzito akiwa wanang'ang'aniana mkoba.....
Bahat mbaya hakukariri namba ya pikipiki hao vijana ukiwakamata usipige kelele ni kumalizana nao kimya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app

