Zubaa ulizwe... Stori Katika picha

Zubaa ulizwe... Stori Katika picha

Kuna mdada siku moja tulikua nae kwenye dala dala anachati na Ki iphone chake halafu kadumbukiza kidole kwenye vile vi Pete kwenye haya ma cover ya siku hizi..Bahati mbaya alikua kakaa Dirishani Mimi maskini ya Mungu nimeingia kwenye daldala nimekosa siti Nimesimama.

Dada anaperuzi na kudadisi Alitokea msela mmoja Anauza maji nnje akapita Trip ya kwanza nikamuona Trip ya Pili akapita hana Maji alipita na ile simu ya yule dada Bado kidogo amtoe kidole dada wa watu..Sista badala ya kulia "simu yangu simu yangu" akawa anaita "kidole changu kidole changu" badae ndo BEAT likwa na chemistry nzury akaanza kulia vizuri "Simu yangu kidole changu,simu yangu kidole changu"

wabongo tulivyo waoga hadi tulosimama walokua wanachat kuskia mtu kaporwa simu eti wakaacha kuchat wakaingiza simu mifukoni...Gari likaanza na story mpk tunafika.
 
Wakati akatwa kidole atatokea mtu na kusema wanaonewa.Wakati huyo mwamba anachoma hiyo piki piki na hao watu wawili watakuja watu wanasema ni mauji ya kutisha.Wengi wamechomwa kwa dhihaka kama hizo ni muda tu hapo unahesabika.
 
Hii imenikumbusha migomigo mwaka Fulani kwenye foleni jamaa kapiga kishoka kumbe kuna jamaa wameipenda saa yake...jamaa alistuka kama kachomwa na kitu hivi kumbe aligusishwa sigara ile anarusha mkono saa ikakwapuliwa zamanii..
 
Ndio maana mm tukiwakamata hawa tunawakata mshipa wa kisigino miguu yote miwili halafu nachukua maji unamjaza sikioni huku ukimshindilia makofi masikion maji yale yakizama sikion kwa pressure yanaenda kupasua ngoma ya sikio.... Halafu mnamwachia... Akitoka hapo anakuwa kiziwi na kitembea hawezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mgirik ulixhofanya sio fair asee,,, nmecheka sana hadi jamaa zangu wameshindwa kunielewa kabisa licha ya kuwaelezea tukio!
SIPATI PICHA UNAVYOSHINDILIA MAJI SIKIONI KWA MAKOFI,, AF MAJI YANAPASUA NGOMA YA SIKIO! Hiki ndio kilicho nivunja mbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom