Zubaa ulizwe... Stori Katika picha

Zubaa ulizwe... Stori Katika picha

Pumbavu hawa ndio wanaongeza idadi ya wakosa furaha nchini mwetu, huyo jamaa hapo hawezi kuwa na furaha kabisa,
 
Halafu inakuwaga kama kamchezo fulani ka kuigiza.

Juzi nimewashuhudia live aisee kuna jamaa anadrive kwenye foleni kashika simu anachati huku vioo kashusha huwezi amini sijui alitokea wapi yule kijana maana alivyoinyakua tu mwenzie yupo na pikipiki pembeni akakimbia kisha akapanda na kuishia zao.

Niliumia utadhani nimeibiwa mie.
 
Kuna watu hawaamini wanadhani ni utani, kuna hadi wanaokata mikanda ya beg na kisu, kwa wapenda kubeba laptop mgongoni
Halafu inakuwaga kama kamchezo fulani ka kuigiza.

Juzi nimewashuhudia live aisee kuna jamaa anadrive kwenye foleni kashika simu anachati huku vioo kashusha huwezi amini sijui alitokea wapi yule kijana maana alivyoinyakua tu mwenzie yupo na pikipiki pembeni akakimbia kisha akapanda na kuishia zao.

Niliumia utadhani nimeibiwa mie.

Sent using Unknown device
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom