Zubaa ulizwe... Stori Katika picha

Zubaa ulizwe... Stori Katika picha

Alafu unakuta ndio unaongea na baby katoka mkoani anakwambia nimeshashuka kwenye basi nipo apaaaaa....
Hao wezi ni wa kuwapiga misumari kichwani haijalishi ameiba nini,wanaanzaga hivyohivyo badae wanakuja kutuua ndani ya nyumba au kuteka magari mbwa hawa
 
Af et ukute fala huyo anachomwa moto umuonee huruma?
Dadeq mi naongeza wese aungue zaidi.
 
Pumbavu sana
Hapo unajiona unaaakili mwenyewe.Hayo mngekuwa mnawafanyia wanaowaibia mabilioni ya kodi zenu mngekuwa mmefanya jambo la maana,sio kumuua kibaka aliyeiba tekno ya laki mbili tena bila silaha.Kwanza ukute hata wewe mwizi tu,eidha unaibia ofisi,unaiba mke wa mtu etc.Kama hujawahi kuiba chochote katika maisha yako hapo unaweza kunyooshea wengine vidole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom