KIJIKI
Member
- Jan 14, 2012
- 17
- 1
Nikweli zoom mnakuwa na hilo tatizo sana hata mie hapa nimejaribu ku apply lakini ikifika hataua ya kuingiza zile alama nikimaliza tu ili nitume najibiwa kwamba nimekosea,,,ktk hili inawabidi mkubali na mfanye marekebisho coz leo unawezaona kwamba upo sahihi lakin kumbe kuna kitu kimebadilika kwenye system bila kujua....hata mie hili hali inanikera sana hata km hamlipwi na sisi tunaotafta hizo kazi lakini kumbuka umejitangaza mwenyewe kufanya hii kazi haina budi basi kuwa makini na kurekebisha haya makosa..:lol::lol: