Gracious
JF-Expert Member
- Jul 12, 2011
- 1,889
- 1,083
Haaah, kumbe hili ni jipya, sisi hapa ofisini kwetu(public office) huwa ndiyo salama ya kuamsha wajumbe wanapopoza kwenye meeting,boss husema ''makamanda sasa naona mnalala...pipooooz....pawaaaaaaaa'' kisha kikao huendelea
Mkuu,mimi nimependa tu hili Jina lako,OKWI BOBAN SUNZU,Hawa jamaaa ni nomaaaaaa,wamefanya kitu ya ukweli pale taifa jana.