Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,198
Kila mwana Ccm akifungua mdomo, unamwona anawamiss ukawa. Wakijidai kuchangia unamwona kabisa km kapewa mtihani mgumu na hakuna pa kuiba majibu.
Kwa ujumla bungeni ni zaidi ya kilabu cha kawaida. Ila kilabu kisicho na taa wala hata radio ya kudanganya masaa.
Tuki rudi kwa speaker na naibu wake, nao ni km walimu wa nao funga mtihani wasioweza ufanya halafu wana wapa wanafunzi wasioweza hata kusoma. Kazi inakuja wanafunzi wanakwama na walimu wanakwama.Ccm wanatia huruma, walichagua viwango duni wakidhani wana shinda kumbe wameshindwa.
Mtuhumiwa naibu speaker kashindwa kabisa jiuza. Kashindwa kila kitu. Sio speakers sio wabunge wa Ccm wenye kujua waende vipi. Hawana mpinzani wa kuwapa cha kuongea, hawana fikra mbadala za kadandia.
Wananikumbusha wachambuzi wa Udsm ktk mjadala. Siku zote hudandia hoja ktk mijadala wakikuta fikra mbadala zenye mashiko. Taratibu hu drop zao na kuanza kuwa general. Hao ni akina Kitila. Wakiachwa wenyewe basi huanza hoja za kipuuzi na kusifiana wee hadi wanakuwa bored.Ndio shida ya watu wasio na culture, sio realistic.
Tulia kajidanganya na maelezo ya ku kipo tosha. Mara watanyimwa posho kwa utoro, mara hawajafukuzwa.
Masikini magufuli sijui atafamyaje na hii mizigo? Atatumbua au Ata wapiga sindano za kuwa boost? Hata maelekezo ya ikulu yenyewe hawana uwezo wa kuyaelewa achiliambali kuyatekeleza. Project Tulia kkmimba iliyotoka. Clip ndogo tuu nilizoona nimecheka. Eti ukawa hawajafukuzwa? Kabajaji nae kutumwa kusema Mbowe ni dictator? Kawa miss ukawa mbaya.
Mungu wangu speaker shida naibu shida , wabunge shida. Paper iliyopo bungeni hata speaker hana majibu. Wote hawawezi fanya kazi independently wala under minimum supervision.
Kweli lazima lusinde alie na Mbowe kwa kuwatoa ukawa bungeni. Ni km kawa ua Ccm miwani na kuwazimia na taa kabisa wakati wanataka soma.