hebu usiseme hivyo, nitie nguvu bana
Kongosho umepatikana!!..eti saa zingine natamani anipigie simu..we!..kweli ndege mjanja hunaswa na tundu la kiujanja..Hatimaye zombie kapata fahamu..pacha snowhite naona unataka kunipeperushia ndege wangu..manake na mie uzombie ulinishinda nikacross border..Mdogo wangu lara 1 ahsante kwa kunikomboa kwenye uzombie..mbona ningeoza bila kujifahamu!....
sio hivo Baba V,yani katika watu nawaaminia katika haya makitu ya ujanja wa mujini na mikausho mikali ni Kongosho sasa tena doooh!walahi zombie litasimamiaaje vidole!
weee, ndio nimekuja kuchukua uzoefu hapa wa kujinasua.
Ngoja ni-block simu yake kwa muda.
kongosho inaruhusiwa bwana hizo bahati uwa haziji mara mbilimbili haswa ukizingatia umri unakutupa mkonovyote vyote anafanya, simu, laivu, meseji.
Hadi namshangaa huu ujasiri anaupata wapi?
Ujue hadi ananifanya eti naona aibu kumtizama usoni? Me? At this age? Feeling shy? For a zombie?
God forbid!
Au kaniendea kwa mganga? Kuna saa natamani apige simu ujue?
kuna Zombie mmoja wa siku nyingi sana
tunawasiliana mara kwa mara
ila siku za hivi karibuni, 'I love U' haziishi na kuapa anavyotamani niwe kwenye himaya yake.
Katangaza ndoa hata kabla sijakubali, naona sasa anaanza kunilegeza magoti, nisipokuwa makini itakula kwangu.
Tatizo huwa sitaki kula nilichosusa, nimesema tu ili mnisaidie kumkemea sheitwani anayetaka kunipitia.
Huyu zombie anataka kujifufua kwa kasi au?
mie mzima tuu nashukuru Mungu siku zinaenda, wewe jee?hahahahh! uko sahihi usjali! mzima lkn?
AHHAHAHAHHAHHAHHAHAHHAHHAHHAH nahisi dawa ya huu ugonjwa anayo pacha wangu SnowBall manake
sitaki kuamini kama magwiji namna yenu huwa zinawakuta hizi!ahahhahahhahahhaha Kongoshoooooooooooooooooo wapi lara 1 atoe maushauri manake huwa namuamini kino gal yule kwenye anga za ufugaji wa mazombie na jinsi ya kuamua kama ulifanye liwe la mayai au la nyama au ulihasi tu moja kwa moja! lara 1 come kipande hii mttoto wa kike wa mamake lara 1
rejea definition ya zombie kwenye usi wa Lara 1
ukishamuonjesha huyo si zombie tena, ni Ex.
weee, ndio nimekuja kuchukua uzoefu hapa wa kujinasua.
Ngoja ni-block simu yake kwa muda.
ni allien wa kiume aliyekubali kuwa mshika mapembe.
unalo bibi!unalo hilo!
zombie amekuzombika!unga wa ndere umeisha amefunguka masikio na macho!unamtamanije sasa?ahahhahahahhahah yani nacheka kama mazuri vile!
ha ha ha ha, kwani gwiji hana maini?
Mie nashangaa huyu zombie anataka kuota pembe??
chezeya zombie wewe!siku yakigundua kama wewe sio jinsia moja na yao mbona utakumbuka tu kuwa unaitwa marietha!ahhaahhahahha jamani mwenzetu ana shida mjue!Kumbe wewe ni mwanamke?
Hahahahahh Kongosho kwisha habari yako.......
Utabiri unaonyesha zombie anaelekea kushinda....
Na moyo wako ushaanza kumtamani.....
Kuna kila dalili atatikisa nyavu......
Nakushauri uanze kumpotezea.....
Anyway...hiyo ni kawaida ya mazombie....atakaaa kisha ataibuka na spidi 180, ukizubaa analamba..... Na akikulamba umeumia maana ni ving'ang'anizi mfano hakuna, wapo tayari kupiga magoti ili wasiachwe au wakubaliwe ombi lao.....
Chukua tahadhari mapema...