ZOMBA: 11,154 KM Ziko wapi ndugu yangu!

Hujui kama imetengenezwa upya? waulize watu wa Arusha nini kinaendelea huko saa hizi.

Wewe unajuwa maana ya "kusaidia wananchi"? unafikiri barabara, afya bora, vyuo vikuu, vyote hivyo sio kusaidia mwananchi. Mijitu mingine inafikiri kusaida mwananchi ni kumwambia chukuwa hizi pesa weka mfukoni.
Mbona Mzee Mkapa hakukopa yeye alizipata wapi hela za kutekeleza hayo ? Hapo kwenye rangi Nyekundu Chizi ni yule aliyeingia madarakani akaanza kugawa mabilioni
 
Hujui kama imetengenezwa upya? waulize watu wa Arusha nini kinaendelea huko saa hizi.

Kitambo sijafika Arusha nikaa muda mrefu japo huwa napitapita lakini katika haya mambo ya barabara huwa kuna rehabilitation, renovation na construction (mie huwa nasoma vibao tu), najiuliza hivi rehabilitation na renovation nazo ni sehemu ya hizo 11,154 KM maana kama ni hivyo hata wale waliojenga 6,000KM wanaweza wakawa wamejenga barabara nyingi
 
Hapo nilipokuwekea nyekundu kuna "upgrade" pia umeisahau.

Naona juu huko hukusoma vizuri ni 6000 + 11,000 = 17,000 Rudi juu ukatazame upya.

Sasa wewe unataka kufananisho hizo na alizowacha Nyerere? duh!, zile zilikuwa barabara au mahandaki? uliziona alipoanza Mwinyi kuzi rehabilitate hapo Dar? usitukumbushe dhiki zile.
tanzania-traffic-rushhour.jpg

Cars queue during rush hour traffic in Dar es Salaam. The road upgrades will make it easier to transport goods to neighbouring countries. [Deodatus Balile/Sabahi].
 
Mbona Mzee Mkapa hakukopa yeye alizipata wapi hela za kutekeleza hayo ?
 
Hizi Mbona mmeziwacha?

FINANCED BY GOVERNMENT OF TANZANIA
NO:
PROJECT NAME
LENGTH (KM)
SIGNING DATE
FINISH DATE
CONTRACTOR
STATUS/PROGRESS
1
MAGOLE - TURIANI
48.60
17/06/2009
02/06/2012
CCECC
29.0%
2
DODOMA - MAYAMAYA
43.65
28/06/2010
11/09/2013
SINOHYDRO
Mobilisation
3
TABORA - URAMBO (LOT 1:TABORA - NDONO)
42.00
30/07/2010
02/09/2012
CHICO
Mobilisation
4
TABORA - URAMBO (LOT 2:NDONO - URAMBO)
52.00
30/07/2010
04/01/2013
CCECC
Mobilisation
5
MANYONI - ITIGI -CHAYA
89.30
30/07/2010
20/12/2013
SINOHYDRO
5%
6
SUMBAWANGA - KANAZI
75.00
15/06/2009
16/12/2012
JIANGXI GEO-ENG
16%
7
KANAZI - KIZI - KIBAONI
76.60
15/06/2009
15/12/2012
CHCEG
22%
8
SUMBAWANGA - MATAI - KASANGA
112.00
10/08/2009
08/10/2012
CR15G
9%
9
MBEYA - LWANJILO
36.00
24/12/2010
25/01/2013
CCCC
Mobilisation
10
TABORA - NYAHUA - CHAYA
(LOT 1:TABORA - NYAHUA)
85.00
30/07/2010
25/01/2014
CFTECH
Mobilisation
11
KYAKA - BUGENE
59.10
30/07/2010
14/03/2013
CHICO
10.1%
12
BAGAMOYO - MSATA
64.00
11/08/2010
14/09/2012
ESTIM
28%
13
MWIGUMBI - MASWA - BARIADI - LAMADI
(Bariadi - Lamadi)
71.80
09/09/2009
09/09/2012
CCCC
14%
14
DUMILA - RUDEWA
45.00
17/06/2009
31/01/2012
CCECC
42%
15
NZEGA - TABORA (LOT 1:NZEGA - PUGE)
58.80
30/07/2010
27/06/2013
CCCC
4%
16
NZEGA - TABORA (LOT 2:pUGE - TABORA)
56.10
30/07/2010
02/04/2013
SINOHYDRO
2%
17
HANDENI - MKATA
54.00
15/06/2009
15/05/2012
SINOHYDRO
32%
18
KOROGWE - HANDENI
65.00
15/06/2009
15/09/2012
SINOHYDRO
24%
PROJECTS FINANCED BY MULTILATERAL
19
DAREDA - MINJINGU
84.60
29/12/2008
10/03/2012
CHICO
82%
20
Namtumbo - Kilimasera Lot A
60.70
24/12/2010
13/06/2012
Progressive Higleig JV
Mobilisation
21
MKUMBARA - SAME
96.00
Dott Services
under mobilisation
22
Kidahwe - Uvinza - Ilunde
76.60
24/06/2010
16/10/2013
CHICO
21%
23
KAGOMA - LUSAHUNGA ( balance Works)
154.00
18/06/2009
08/07/2012
CHICO - CRSG Jv
53.3%
24
Fufu Escarp - Dodoma Lot 3
70.90
13/01/2011
14/06/2013
CCCC
Mobilisation
25
ARUSHA - NAMANGA
105.00
13/06/2008
12/04/2012
China Geo-Eng.
81%
26
ARUSHA - MINJINGU
98.00
10/05/2011
11/02/2014
Sogea Satom
Mobilisation
27
Kilimasera - Matemanga Lot B
68.20
24/12/2010
13/08/2013
Progressive Higleig JV
Mobilisation
28
Matemanga- Tunduru Lot C
58.70
24/12/2010
13/05/2013
Progressive Higleig JV
Mobilisation
29
Iringa - Migori Lot 1
95.10
13/01/2011
14/02/2014
SIETCO
Mobilisation
30
Migori - Fufu escarp Lot 2
93.80
13/01/2011
15/02/2014
SIETCO
Mobilisation
31
KOROGWE - MKUMBARA
76.00
STRABAG
Mobilisation
32
ISAKA – USHIROMBO
132.00
18/08/2009
18/05/2013
CHICO
47.1%
33
USHIROMBO - LUSAHUNGA
110.00
18/08/2009
17/05/2013
STRABAG
42.1%
PROJECTS FINANCED BY BILATERAL
34
MARANGU - ROMBO MKUU
32.00
13/05/2008
15/06/2010
General Nile
82%
35
Malagarasi Bridge and Approach roads
48.00
21/10/2010
01/12/2013
HANIL
10%
36
WIDENING OF BAGAMOYO ROAD
17.20
16/12/2010
31/05/2013
KONOIKE
15%
37
CHALINZE - TANGA PHASE II
124.00
24/12/2010
28/07/2013
SBI Inetrnational
12%
38
Nyanguge - Musoma
(Mwanza /Mara border - Musoma section)
85.50
30/07/2010
CHICO
IN PROGRESS
PROJECTS FINANCED BY WORLD BANK UNDER BRT PROJECT
39
LOT 1: ROAD WORKS (Kimara - Magomeni)
10.90
PROCUREMENT
40
LOT 2: ROAD WORKS
(Magomeni - Kivukoni, Kawawa and Msimbazi)
10.50
PROCUREMENT
41
PACKAGE 2: UBUNGO TERMINAL,
FEEDER STATION AND UP-COUNTRY BUS STATION
09/08/2010
BCEG
Mobilisation
42
PACKAGE 3: JANGWANI DEPOT
24/12/2010
ChinaCivil Eng
PROCUREMENT
43
PACKAGE 4:
KIVUKONI TERMINAL AND FEEDER STATION
21/06/2010
20/06/2011
BCEG
50%
44
PACKAGE 5:
KARIAKOO TERMINAL AND FEEDER STATIONS
09/08/2010
BCEG
Mobilisation
45
PACKAGE 6:
FEEDER STATIONS
21/06/2010
BCEG
Mobilisation
46
PACKAGE 7:
RELOCATION OF POWER UTILITIES
31/05/2010
05/05/2011
SPENCON
55%
PROJECTS FINANCED BY MCC
47
Tanga-Horohoro
65.00
22/12/2009
12/04/2012
SINOHYDRO
47.22%
48
Tunduma-Ikana
63.70
22/09/2010
07/09/2012
CONSOLIDATED
8.70%
49
Ikana-Laela
63.70
17/09/2010
15/08/2012
CHINA NEW ERA
10%
50
Laela-Sumbawanga
95.31
29/04/2010
31/01/2013
AASLEFF-BAM JV
24%
51
Songea-Namtumbo
61.00
25/05/2010
03/09/2012
SOGEA-SATOM
17.5%
52
Peramiho Jct-Mbinga
78.00
02/07/2010
28/10/2012
SINOHYDRO
13.2%

weka grand total jumlisha na pamoja na zile 1,741.8 hazifiki 11,154km......
 
weka grand total jumlisha na pamoja na zile 1,741.8 hazifiki 11,154km......

Hizo data ni indicators tu hazipo updated.

Data za kuweza kupingwa kisheria ni zile alizozitoa Magufuli Bungeni. Hizo zinaingia kwenye hansard.
 
Kitambo sijafika Arusha nikaa muda mrefu japo huwa napitapita lakini katika haya mambo ya barabara huwa kuna rehabilitation, renovation na construction (mie huwa nasoma vibao tu), najiuliza hivi rehabilitation na renovation nazo ni sehemu ya hizo 11,154 KM maana kama ni hivyo hata wale waliojenga 6,000KM wanaweza wakawa wamejenga barabara nyingi

Mkuu wangu Jodoki Kalimilo sina hakika saaaana kama kwenye barabara kuna renovation. Waliosoma MEM wanaweza kunisaidia. Najua kuna Rehabilitation, Reconstruction, Upgrading kama alivyosema zomba na pia kuna Maintenance. Upgrading ni kupandisha hadhi barabara inaweza kuwa ya vumbi kuipeleka changarawe (Earth Road to Gravel) ama kutoka ya changarawe kwenda ya lami (Gravel to Bituminous standard). Ukifika kwenye lami ndio unakuta zipo Double Surface Dressing, Single Surface Dressing ama Asphalt Concrete. Ni elimu kama elimu zingine miye nimechungulia kidogo huko.
 
Last edited by a moderator:
Hizo data ni indicators tu hazipo updated.

Data za kuweza kupingwa kisheria ni zile alizozitoa Magufuli Bungeni. Hizo zinaingia kwenye hansard.

Mimi nazunguka sana nchi hii. Hizo data zilizopo hapo hazijawa updated hata kidogo. Nadhani hao wanaozitoa kwenye mtandao nao wana matatizo kama yale ya mtandao wa bunge.
 
don't take zoba bin zombie seriously, this guy think m.kwere and apparently his fellow islamists can do no wrong..such complex bigotry can never be overturned, coz it is a combination of stupidity+ignorance+false zealotry +delusion+...<jaza mwenyewe>

nimeshaandika mara nyingi sana humu kwenye jamvi ninalaloamini wasomi walioelimika ndio wanajadiliana kwa hoja za msingi kwa mustakabali wa taifa lao,lakini pale mtu anapoonekana ku support utendaji wa kikwete lazima anasibishwe na uislam,hivi kweli hakuna mkristo hata mmoja anayeona mazuri ya JK? nasikitika sana kuwa tanzania itabaki kuwa maskini milele, na pia sasa naanza kuamini hata kutokuwa na waislam wasomi wengi na uchache wao serikalini ni mapango mkakati wa wa nyerere na kanisa katoliki,yaani mkiisikia muislam mnasikia kichefuchefu? kwa mtindo huu mtatengeneza mafisadi kila kukicha kwa kukosa kwenu UADILIFU. TUNAITAJI KULIOMBEA SANA hili taifa
 
Mkuu Kumchaya sijui kama wewe ni Suleiman Kumchaya au ni mwingine. Unajua ni vizuri tukimwangalia JK kama rais wetu, tusiangalie uislamu wake, kwa kuwa hakuja madarakani kufundisha uislamu. Kama mtu atampima JK kwa kigezo cha dini atakuwa mjinga. Unajua ukitaka kuzungumza mazuri ya serikali ya JK ni vizuri utaje 1, 2, 3, 4.....kama kweli mtu aliyeelimika akiyaona ataya-appericate wazi kabisa. Kumtetea mbunge eti kwa kuwa ni mkrito au mwislamu ni ufinyu wa akili, akikosea amekosea tu. Kwanza hao wanaojiita waislamu au hao wanaojiita walokole, angalia matendo yao ndio utajua kuwa hakuna lolote wanatumia dini kama chaka la kujficha tu.

Tatizo ni kuwa kuna watu walileta sera ya udini wakidhani ni mchezo tu wa siasa bila kujua madhara yake yanakwenda wapi. Ukumbuke kuwa Tanzania ina waislamu wengi sana ambao wakitaka kuelimika wataelimika tu, kuna wengine wamekwenda nje kusoma kwa juhudi zao, kuna waislamu wasomi sana hapa Tanzania kila angle, madaktari, wahandisi, marubani wamesoma katika maizngira haya haya , kwa hiyo excuse kuwa Nyerere aliwazuia ni absolutely ****, ni cheap defence ya uzembe na ujinga. Kama Nyerere alizuia mlango mmoja, hakufunga yote. Mbona wakati wa Mwinyi nchi za kiislamu zilitoa misaada mingi. ni ipi ilipelekwa kwenye shule na ipi ilipelekwa kwenye misikiti. Ni kosa la Nyerer?

Walimu waislamu wangapi wanafundisha madarasa ya wanafunzi waliojaa wakristo, waislamu wanakimbia madarasa hayo. Why? Wengine utamaduni wa shule haupo kwao, lakini wanasahau kuwa shule ndio inafanya wapewe kazi hizo.

Angalia shule kama kinondoni muslim au shule za kiislamu....hali inasikitisha, Nyerere yupo bado? au ndio ile "myth" ya system ya kikristo, inayotumiwa kujustify uzembe na kudai haki zisizostahili?

OK TAnzania unaweza kumlaumu Nyerere, Zambia je? Msumbiji je? NIgeria je? Uarabuni kwenyewe ambako karibu wote ni waislamu, Zanzibar je?
 
Hizi terminology huwa nazisikia kwa wazee wanaoshughulika na masuala ya construction ndugu Kimbunga naweza nikawa sipo sawa katika sekta ya barabara si unajua fani si zetu hizi lakini hata hivyo nashukuru maana katika jukwaa hili tunajifunza mambo mapya.
 
Last edited by a moderator:
nimeshaandika mara nyingi sana humu kwenye jamvi ninalaloamini wasomi walioelimika ndio wanajadiliana kwa hoja za msingi kwa mustakabali wa taifa lao,lakini pale mtu anapoonekana ku support utendaji wa kikwete lazima anasibishwe na uislam,hivi kweli hakuna mkristo hata mmoja anayeona mazuri ya JK? nasikitika sana kuwa tanzania itabaki kuwa maskini milele, na pia sasa naanza kuamini hata kutokuwa na waislam wasomi wengi na uchache wao serikalini ni mapango mkakati wa wa nyerere na kanisa katoliki,yaani mkiisikia muislam mnasikia kichefuchefu? kwa mtindo huu mtatengeneza mafisadi kila kukicha kwa kukosa kwenu UADILIFU. TUNAITAJI KULIOMBEA SANA hili taifa
unakurupukia kujibu post usiyoielewa na matokeo yake ni kudhihirisha jinsi ulivo mpuzi.
 
unakurupukia kujibu post usiyoielewa na matokeo yake ni kudhihirisha jinsi ulivo mpuzi.

Mkuu hili ndio tatizo lililopo, watu wanaongea mambo ambayo yanawadhalilisha au kumdhalilisha rais. Nadhani inawezekana kuwa kunawakati rais atajuta kuwa mwislamu, hata kama amejenga barabara yenye urefu wa kilometa 15, wengine watasema ahhhh mwislamu mwenzetu amejenga kilometa 1,500. Lakini wenye kujua wanajua kuwa ni kumpaka rais mafuta kwa mgogo wa chupa. Maana yake nini kumsifia mtu kuwa amejenga barabara, wakati wenyewe mwenyewe unashindwa hata kuonesha barabara hizo. Ni kujionesha kuwa ni ushabiki wa kitoto.
 
Bongolander, wewe ni mojawapo ya compass hapa JF na kama nilivotarajia, huezi ukawa na matatizo ya uelewa wa vitu vidogovidogo.
Tumeshaeleza hapa mara kadhaa kuhusu objectivity, wapo wanamkanyagia JK kwa sababu ya u.kwere au usilamu wake, hao sijawahi kukubaliana nao kwa hilo hata siku moja. Hii haimaanishi tuwape free-ride some Islamists kama Zomba et al, wanamsifia bila ya facts kwa sababu tu ni msilamu mwenzao.

Hatuezikukubali upambavu huu na lazima tuukemee kwa kinywa kipana.
 
Back
Top Bottom