Brazil yakamilisha SGR yake kwa Miaka 30, nchi masikini ya Tanzania inajitutumua kukamilish Kwa miaka 15

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Brazil ambayo ni Nchi Tajiri imetumia takribani miaka 30 Kukamilisha Ujenzi wa Sgr yake yenye urefu wa zaidi ya km 2200 ,Wakati huo huo Tanzania ambayo ni LDC eti inajitutumua kujenga Sgr ya zaidi ya km 1800 iwe imekamilika ndani ya miaka 15 .

Kwa hesabu hizi umaskini utazidi kuongeza badala ya kupungua,hesabu za kiuchumi zinakataa.

My Take
Sgr ya Brazil tayari Ina mzigo wa mazao Kilimo unaisubiria ,Tanzania tuna bet zaidi ya Trilioni 30 hatujui tutabeba mzigo gani ili pesa irudi.😂😂

=====
BRAZIL’s president, Mr Luiz Inácio Lula da Silva, has marked completion of the North-South Railway by officially opening a freight terminal at Rio Verde in the state of Goiás, on the final 1537km section to be built between Porto Nacional in Tocantins and Estrela d’Oeste in São Paulo.

“It took 30 years, but it's finally ready,” Lula told local media. “I'm very happy.”

“We are going to continue building railways so that we can have an intermodal system combining road, rail and sea, so that the country can reduce cost to Brazil of poor-quality transport.”

The 1600mm-gauge North-South Railway runs for 2257km from the port of Itaqui in the northeastern state of Maranhão to the port of Santos near the city of São Paulo in the southeast of Brazil. The line uses existing infrastructure to reach ports at both ends of the route.

Construction began in 1986, but most work was completed after 2007 following decades of limited funding for the project, which is intended to facilitate the export of agricultural products such as soya beans, maize and cotton to world markets.

Agricultural products currently represent around 21% of rail freight traffic in Brazil, substantially less than in other major food exporters such as Canada where rail has a 34% market share or Australia where it is 55%.

The North-South Railway is currently carrying around 50% of Brazil’s agricultural exports. According to the federal government, 7.8 million tonnes of soya beans, maize and bran were moved on recently completed sections in 2022 alone, driving a 25% increase in exports from the state of Goiás.

“We are bringing development to four regions of the country and allowing producers to have better conditions for exporting their products,” says federal transport minister, Mr Renan Filho.

Rumo was awarded a 30-year concession to operate the section between Estrela d'Oeste and Porto Nacional in August 2019. The federal government says that over the past four years Rumo has built three new freight terminals at São Simão, Rio Verde and Iturama, investing a total of Reais 4bn ($US 816.3m) in terminals, infrastructure and rolling stock.

While Rumo also operates the southern end of the North-South Railway from Estela d’Oeste to Santos, the section from Porto Nacional to Açailândia at the northern end is operated by VLI.

The connecting route from Açailândia to the port of Itaqui is part of the Carajás Railway (EFC) operated by mining company Vale.
  • Brazil-Rumo-ceremony-in-Rondonopolis-071122-cropped-credit-Mayke-Toscano-Secam-MT-598x336.jpg
  • Brazil-viaduct-Shutterstock-pic-cropped-598x336.jpg
  • Rumo-and-FNS-002.jpg
 
Wachina wangekuwa wana waza kama wewe wasingefikia walipofika. Wangekosa uthubutu wa kufanya miradi mikubwa sababu wange jilinganisha na Marekani au nchi za Ulaya wangeogopa kufanya.
Unafanya mradi baada ya economic appraisal sio kukurupuka ilimradi unakurupuka.

Kitakachofuta kwenye Sgr ni sawa na kinachoendelea Sasa kwenye mitre gauge railwaya na Tazara sawa na 2-2 jibu unalijua.
 
Sasa utafananisha miundo mbinu ya Brazil na Tanzania? Jisomee kuhusu reli za Brazil:

Usafiri wa reli nchini Brazil ulianza katika karne ya 19 na kulikuwa na kampuni nyingi tofauti za reli. Reli zilifanywa kitaifa chini ya RFFSA (Rede Ferroviária Federal, Sociedade Anônima) mwaka 1957. Kati ya 1999 na 2007, RFFSA ilivunjwa na huduma sasa zinaendeshwa na waendeshaji mbalimbali wa kibinafsi na wa umma, ikiwa ni pamoja na América Latina Logística, Companhia Paulista de Trens Metropolitanos na SuperVia.

Reli nyingi nchini Brazil ni kwa usafirishaji wa mizigo au usafiri wa abiria mijini. Reli mbili tu za abiria za jiji zinaishi: Reli ya Carajás (kuunganisha Pará na Maranhão) na Reli ya Vitória kwa Minas (kuunganisha Espírito Santo na Minas Gerais).

Soma zaidi: Rail transport in Brazil - Wikipedia).
 
Sasa utafananisha miundo mbinu ya Brazil na Tanzania? Jisomee kuhusu reli za Brazil:

Usafiri wa reli nchini Brazil ulianza katika karne ya 19 na kulikuwa na kampuni nyingi tofauti za reli. Reli zilifanywa kitaifa chini ya RFFSA (Rede Ferroviária Federal, Sociedade Anônima) mwaka 1957. Kati ya 1999 na 2007, RFFSA ilivunjwa na huduma sasa zinaendeshwa na waendeshaji mbalimbali wa kibinafsi na wa umma, ikiwa ni pamoja na América Latina Logística, Companhia Paulista de Trens Metropolitanos na SuperVia.

Reli nyingi nchini Brazil ni kwa usafirishaji wa mizigo au usafiri wa abiria mijini. Reli mbili tu za abiria za jiji zinaishi: Reli ya Carajás (kuunganisha Pará na Maranhão) na Reli ya Vitória kwa Minas (kuunganisha Espírito Santo na Minas Gerais).

Soma zaidi: Rail transport in Brazil - Wikipedia).
Unasapoti hoja au unalaumu? Unadhani Brazil wanajenga reli Ili kujifurahisha kama Tanzania?
 
Mtu anatumia trn 10 kufanya miradi white elephant hii pesa ingetumika vizuri tungejenga mabwawa na kuchimba visima kila kijiji tuondokane na kilimo cha kutegemea mvua
Inasikitisha sana Mkuu ni takribani Trilioni 30 zinaenda kuzikwa,hizo pesa zingetumika vizuri zingeleta Mageuzi makubwa ya Kiuchumi kwenye maisha ya watu na kuchochea uzalishaji ambao Sasa ndio ungeamua tujenge reli au hapana.

Kwa sababu Kwa uzoefu wangu sijawahi ona reli ikichochea uchumi wa mtu mmja mmja kama Barabara,reli huja baada ya hiyo miundombinu mingine kuzidiwa au Kama una target mzigo mkubwa sehemu sio kujijengea jengea tuu harafu tutapata hasara zaidi.
 
Back
Top Bottom