Zoezi la uokoaji wa VIP la makomandoo

Zoezi la uokoaji wa VIP la makomandoo

Nimeangalia lile zoezi na kwa upeo wangu nikaona kama la kawaida. Au ndio yale ukiwa nje ya uwanja.

Kubwa nililoona pale ni kuwa wakati helkopta iko pale juu ikishusha waokoaji, sikuona wengine wakiwa na silaha mle ndani kwa lengo la kuangaza nacho pande zote na kwa mbali kujiepusha na adui.

Kwa mfano adui angekuwa mbali kama mita mia hamsini hivi na akaamua kurusha kombora ingekuwaje?
Kinachokusumbua ni kupenda kukuza mambo
 
Mambo ya jeshi ni siri sana, hutakiwi kujua zaidi ya kile walicho kionyesha Jana...

Mkitaka kujua uimara wa hawa makomandoo/jeshi la Tanzania waulizeni MUNUSCO....
 
Kutafuta kuonekana wanajuwa kumbe hamna kitu,vitu vingine iwe siri yao makambini huko ,binafsi nawakubali sana TISS wapo kipekee sana sijui na ubora wa viwango vya elimu na upeo wa watu wao una wabeba ,hao makomando huwa ni division zero wa form four.

Division sio kipimo cha mafunzo yao
 
Ubezaji wa si tabia njema. Hili ni jeshi letu, tulipende. Ulinzi wa mipaka yetu unawategemea wao kwa asilimia kubwa. Tuwape moyo waendelee kuwa na morale. Vile vile, tusilinganishe movies ambazo zimekuwa edited na mambo ya live. Mapigano ni profession, sio kila mtu anaweza kuchambua
Wanalipwa ...hawalindi bure na wanaigombea kazi hiyo mpaka kwa hongo!
Kukosoana imo ili twende mbele..
Hata mwalimu na docta pia anahitaji kuenziwa wapate hiyo unayosema morale!
 
Wamefanya utoto mkuuubwa saana kuwahi kutokea. Since 1961.

Sielewi kama ni maigizo au ndio wamemaliza na kama maigizo basi hakuna kitu

Slow saana.
Umakini mdogo.
Haijabase kwa real events.
Yaani dah
 
Bora unge kaa kimya tu
Mambo ya jeshi ni siri sana, hutakiwi kujua zaidi ya kile walicho kionyesha Jana...

Mkitaka kujua uimara wa hawa makomandoo/jeshi la Tanzania waulizeni MUNUSCO....
 
Nimeangalia lile zoezi na kwa upeo wangu nikaona kama la kawaida. Au ndio yale ukiwa nje ya uwanja.

Kubwa nililoona pale ni kuwa wakati helkopta iko pale juu ikishusha waokoaji, sikuona wengine wakiwa na silaha mle ndani kwa lengo la kuangaza nacho pande zote na kwa mbali kujiepusha na adui.

Kwa mfano adui angekuwa mbali kama mita mia hamsini hivi na akaamua kurusha kombora ingekuwaje?
Uko sahihi mkuu nashauri haya maonesho yasiwe yanaoneshwa ikiwa kuna mataifa ya nje make pale unaanda manzingira ya kuzimwa make watasha wakiona vile tayari na wao wanajua udhaifu wa ulinzi wa tz so wanabuni mbinu tofauti mawazo yangu lakini
 
Back
Top Bottom