Zoezi la uokoaji wa VIP la makomandoo

Zoezi la uokoaji wa VIP la makomandoo

Soja ana division four ya 50 toka secondary ya Mwasenga kigoma unataka atoe huduma Kama Navy seal ya US au spetsnaz commando ya Russia haiwezekani.
Ule ndio mwisho wa uwezo wao jamani kulingana na training na nutrition wanazopata.
Hawa Navy Seal wako vzur asee. Training yao ni ya hali ya juu sana. Pesa mingi sana inatumika kuwatrain na huwa mission zao ni perfect mostly
 
Bora wangeweka ile show yao ya kupasua matofali na kulalia mbao za misumari.
 
Halafu nimegundua kuwa serikali NATO inajua kuwa din gan ni magaidi kwa. Kuangalia wale wale makomandoo
Mi mwenyewe nliona ile ilikua spesho kuonesha wale jamaa wa Zanzibar waliokua wanaua watu hovyo na sasa wanasukumiziwa huko
 
Bei ya ibm moja unalipa mshahara walimu wa Kenya Uganda na tz kwa miezi miwili mfululizo
Mkuu umeishiaa njianii....ICBM moja ni dolla billion 85 mpk 100 hizi ni trillion..187 mpk 228....hii ni bajeti ya Tz miaka 7 na chenjii ikabakiii
 
,helicopter utazani ya ambulance, JPM stopisha hiyo miradi watafutie vijana helicopters za kueleweka kama hii haizidi bilion 50 tuView attachment 1286873

Akinunua chopa tutasema ya nini maana hatuna jema sisi, watu wanaponda ndege, barabara, treni itakua chopa. Ukisema ulinzi hata radar inaimalisha ulinzi ila tulikandia vile vile.
 
Ile movie ilikua haina mvuto kabisa. Utadhani waigizaji ni MwaMengo 2 degrees and Komandoo Mombasasa
 
Nimeangalia lile zoezi na kwa upeo wangu nikaona kama la kawaida. Au ndio yale ukiwa nje ya uwanja.

Kubwa nililoona pale ni kuwa wakati helkopta iko pale juu ikishusha waokoaji, sikuona wengine wakiwa na silaha mle ndani kwa lengo la kuangaza nacho pande zote na kwa mbali kujiepusha na adui.

Kwa mfano adui angekuwa mbali kama mita mia hamsini hivi na akaamua kurusha kombora ingekuwaje?
Colonel Bakari wa Comoro anaujua huo muziki, lile ni onesho tu. Pata nafasi ukaone action zao katika field.
 
Hili zoezi la uokoaji wa Vip ni la kijinga sana muda ni muhimu baina ya kufanikisha au kifo.
 
Kituko kingine mbele ya wageni ni hiki eti gari hili limetengenezwa hapahapa nchini...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ni ashok leyland kutoka india wao wangesema wameunda hilo li tank la maji lita 7500
20191210_060946-COLLAGE.jpeg
 
Kutafuta kuonekana wanajuwa kumbe hamna kitu,vitu vingine iwe siri yao makambini huko ,binafsi nawakubali sana TISS wapo kipekee sana sijui na ubora wa viwango vya elimu na upeo wa watu wao una wabeba ,hao makomando huwa ni division zero wa form four.
TISS wapi unawaongelea?!? Hawa wanaokunywa K ya K Vant na kuanza kututisha na vitambulisho utadhani ni SMG?!??
 
Hata wakenya nao wangepewa nafasi wangeonyesha Tena hata kuzidi wavuta bangi wetu lakini huko west gett walicharazwa mbaya na vimtu vitatu wakaishia kupeleka vifaru kuharibu jengo na kuiba mikate na Rolex kikubwa kwenye field hayo maigizo hayana tija yeyote ila bado ninaimani na jeshi letu pia baka baka kama mtapitia huu Uzi mpunguze ulevi huku mtaani mmekuwa kero Sana mkija likizo kila mmoja mnataka ajue wee ni nani bora wanywe wakubwa wenu maana nyie ndo tunawategemea front line kwenye vita
 
Kutafuta kuonekana wanajuwa kumbe hamna kitu,vitu vingine iwe siri yao makambini huko ,binafsi nawakubali sana TISS wapo kipekee sana sijui na ubora wa viwango vya elimu na upeo wa watu wao una wabeba ,hao makomando huwa ni division zero wa form four.
Elimu ya darasani haiusiani na mafunzo ya ukomandoo.
 
Back
Top Bottom