Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,556
Sawa mkuu zitawafikia usijali[emoji41]Msalimie mkweo na wajukuu wenu!!
Sawa mkuu zitawafikia usijali[emoji41]Msalimie mkweo na wajukuu wenu!!
Lilikuwa ni onyesho sehem ambapo pana eneo dogo,Nimeangalia lile zoezi na kwa upeo wangu nikaona kama la kawaida. Au ndio yale ukiwa nje ya uwanja.
Kubwa nililoona pale ni kuwa wakati helkopta iko pale juu ikishusha waokoaji, sikuona wengine wakiwa na silaha mle ndani kwa lengo la kuangaza nacho pande zote na kwa mbali kujiepusha na adui.
Kwa mfano adui angekuwa mbali kama mita mia hamsini hivi na akaamua kurusha kombora ingekuwaje?