Zoezi la uokoaji wa VIP la makomandoo

Zoezi la uokoaji wa VIP la makomandoo

Me nlikuwa naona aibu kwa watu wa nje waliokuwa wanatizama nkatamani nizime huko tcra, angalau wale walokaribishwa kusalmia kuna mmoja alimkazia JPM miaka yake ni 10 tu, mwingne akasema anaipongeza serikali ya awamu ya 3, nlifurahi kidogo[emoji23] kwingne nliona chenga tu.
Yule waziri Mkuu mstaafu anaonekana hayupo sawa kisaikolojia, hasa baada ya kupata changàmoto za uchaguzi.
 
Kwa jinsi mwelezeaji alivyotoa utangulizi nikajua itakuwa bonge la show!!! Yaani mshangazo wa kutosha!! Kumbe hamna kitu ni kama walidhibitiwa na nguvu za giza ati
 
Daaaah sawa
Kweli mzee wangu.
Magu kabebwa na wasomali wana magrinade wana AK 47. Na wana hand bomb.
Afu wewe unakuja na kihelkopta chako unarusha kamba.
Unaisubiri hadi ifike chini.
Unajivuta vuta unambembea na ile kamba hadi chini.

Shubaaaaaamit.
Ile ilikuwa ni futuhi
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kweli mzee wangu.
Magu kabebwa na wasomali wana magrinade wana AK 47. Na wana hand bomb.
Afu wewe unakuja na kihelkopta chako unarusha kamba.
Unaisubiri hadi ifike chini.
Unajivuta vuta unambembea na ile kamba hadi chini.

Shubaaaaaamit.
Ile ilikuwa ni futuhi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa jinsi mwelezeaji alivyotoa utangulizi nikajua itakuwa bonge la show!!! Yaani mshangazo wa kutosha!! Kumbe hamna kitu ni kama walidhibitiwa na nguvu za giza ati
Nami nilisubiri show ya nguvu ila sikuiona. Na kile kibanda walicholeta sikuona kazi yake
 
Nami nilisubiri show ya nguvu ila sikuiona. Na kile kibanda walicholeta sikuona kazi yake

Subiri uambiwe gharama ya ujenzi wake utachoka mkuu, si ajabu kitafika bei ya nyumba ya bibi kizee kijijini au zaidi
 
Yan sijaona kipya pale yote nishaona kwenye movie Tena Bora hata wale sungusungu wa kisukuma..ilinibidi niendelee tu kuchat
Mkuu kwani ulitaka uone mabomu na risasi vikivurumishwa live?
 
Kutafuta kuonekana wanajuwa kumbe hamna kitu,vitu vingine iwe siri yao makambini huko ,binafsi nawakubali sana TISS wapo kipekee sana sijui na ubora wa viwango vya elimu na upeo wa watu wao una wabeba ,hao makomando huwa ni division zero wa form four.
Kwahiyo wale wanaomlinda jiwe wana ma degree na masters?
 
Yaani bora hata bongo movie, sio kwa kituko kile.

Kumbe walitoka Dar kwenda kufanya show Mwanza, nimekutana na semi ya JWTZ maeneo ya Dumila imelipakia lile gari la zimamoto Ashock Leyland ambalo wao walisema limetengenezwa Kibaha, sijaelewa kwanini gari ni nyumbu huku lebel yake ni Leyland Ashock
 
Siku nyingine wawaachie FFU nao wafanye onesho lao...au traffick police...au askari magereza......kila siku wao tu wanajeshi jamani.?
 
Kituko kingine mbele ya wageni ni hiki eti gari hili limetengenezwa hapahapa nchini...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ni ashok leyland kutoka india wao wangesema wameunda hilo li tank la maji lita 7500View attachment 1287330
Leo nimeliona hilo zimamoto limepakizwa kwenye Semi trailer la jeshi linatolewa Mwanza linarudishwa Dar, nikajiuliza ina maana magari ya zimamoto hayawezi kupita kwenye barabara zetu. Au ni kwa sababu made in Tz hawaliamini!!
 
Back
Top Bottom