Zoezi la uhakiki limeisha serikali yaanza kuajiri watumishi wapya.

Kwanza kwa hili zoezi usitarajie waraka utoke.....kauli ya waziri mkuu kikatiba ni waraka pia...
.
Kuhusu anayesema polisi sio wasafi....Tunachanganya vitu viwili...watumishi hewa na watumishi wasio na sifa....hao unaosema wewe kama ni kweli basi sio hewa bali wasiokuwa na sifa
 
Mbona wanasema watumushi wote hadi walimu!? Kwani ukisema watumishi wote! Na walimu si miongoni mwao.

Amenikumbusha zamani kidogo! Huko Bukoba ilikuwa ukiingia hotelini; ukiulizia chakula unaambiwa: "Chakula kimeisha! Umebaki UGALI tu"

Ahahahahaaaaaaaa! Sawa na kusema wamekufa watu watano na mmakonde mmoja!
 
hayo aliyasema waziri mkuu jana jijini dar es salaam akiwa anahutubia watumishi wa umma pamoja na madiwani ilala ikiwa ni moja ya ziara anazozifanya humo mh.kasimu majaliwa kuwa zoezi la kuhakiki watumishi hewa limeisha na kuwa watumishi ambao wapo ni halali hivyo serikali imeanza kuajiri kama kawaida
hotuba ya mwendo kasi
 
Maneno pekee ambayo unaweza kuamini kutoka kwa mwana siasa ni salaam tuu! Na pia sio kwa asilimia %!
 
Mbona wanasema watumushi wote hadi walimu!? Kwani ukisema watumishi wote! Na walimu si miongoni mwao.

Amenikumbusha zamani kidogo! Huko Bukoba ilikuwa ukiingia hotelini; ukiulizia chakula unaambiwa: "Chakula kimeisha! Umebaki UGALI tu"
hahahahaaa umenichekesha sana
 
Mbona wanasema watumushi wote hadi walimu!? Kwani ukisema watumishi wote! Na walimu si miongoni mwao.

Amenikumbusha zamani kidogo! Huko Bukoba ilikuwa ukiingia hotelini; ukiulizia chakula unaambiwa: "Chakula kimeisha! Umebaki UGALI tu"
Hahahahaha dah Jumapili yangu imekua njema sana zaidii...baada ya kusoma komenti hii!!
 
Mbona wanasema watumushi wote hadi walimu!? Kwani ukisema watumishi wote! Na walimu si miongoni mwao.

Amenikumbusha zamani kidogo! Huko Bukoba ilikuwa ukiingia hotelini; ukiulizia chakula unaambiwa: "Chakula kimeisha! Umebaki UGALI tu"
Hahahahaha dah Jumapili yangu imekua njema zaidii...baada ya kusoma komenti hii!!You made my day
 
SERIKALI KUANZA KUAJIRI, KUTOA VIBALI VYA UHAMISHO,KUPANDISHA MADARAJA, SOURCE TANZANIA DAIMA.

serikali inatarajia kuanza kutoa ajira mpya na kupandisha vyeo watumishi wa umma baada ya agizo la rais john pombe magufuli la kusitisha utaratibu huo kupisha uhakiki wa watumishi hewa kukamilika. jana waziri mkuu kasim majaliwa akiendelea na ziara yake jijini dsm na kuzungumza na watumishi,wabunge na madiwani alisema UHAKIKI UMEKAMILIKA. tumekamilisha uhakiki na watumishi waliopo ni HALALI, Aliendelea kusema mtumishi yeyote atakayepandishwa cheo mwezi huo huo anaanza kupata stahiki zake maramoja. hivi sasa tumebadili mfumo, mtumishi atapandishwa cheo wakati huhuo tayari utaratibu utakuwa umeandaliwa kurekebisha mishahara na stahiki zake na ninaomba maofisa utumishi hili liwe linafanyika kabla ya tarehe10 ili wahasibu wa halmashauri wawe hawajafunga na hili ni watumishi wote hadi walimu. chanzo tanzania daima ijumaa agost 19, 2016.
hahahhhahaha ijumaa, augost .19-2016
 
Back
Top Bottom