John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,373
Zlatan Ibrahimovic ameonekana mitaa ya Jiji la Milan akiwa kwenye gari lake aina ya Ferrari SF90 Stradale, ambalo thamani yake inatajwa kuwa ni £400,000.
Kiwango hicho cha fedha kwa thamani ya fedha za Tanzania ni zaidi ya Sh bilioni 1.2.
Staa huyo wa AC Milan alijinunulia gari hilo kama zawadi ya kutimiza umri wa miaka 40, Oktoba 3, mwaka jana.
Wewe ni zawadi gani ya thamani umeshawahi kujinunulia?