Zlatan Ibrahimovic ajiachia mtaani na Ferrari yake ya Sh BILIONI 1.2

John Haramba

JF-Expert Member
Feb 4, 2022
365
1,373
Zlatan Ibrahimovic ameonekana mitaa ya Jiji la Milan akiwa kwenye gari lake aina ya Ferrari SF90 Stradale, ambalo thamani yake inatajwa kuwa ni £400,000.

Kiwango hicho cha fedha kwa thamani ya fedha za Tanzania ni zaidi ya Sh bilioni 1.2.

Staa huyo wa AC Milan alijinunulia gari hilo kama zawadi ya kutimiza umri wa miaka 40, Oktoba 3, mwaka jana.

Wewe ni zawadi gani ya thamani umeshawahi kujinunulia?

33d1ff24d83628c6.jpg

zlatan-ibrahimovic-seen-driving-the-ferrari-sf90-stradale-spider-he-got-himself-as-a-gift-1814...jpg
 
Thamani kwa macho ya nani ?

Hayo machumachuma kwa macho ya mmasai yanaweza kuwa tu kama mtambo wa kuharibu mazingira na kutoboa mifuko kwa gharama...., ila Ng'ombe aliyeshiba na mnono anaweza kulala kwa tabasamu kubwa na kicheko kwa muda wa mwezi mzima
 
Heheh dah acha makasiriko. As long yeye kwake inampa faraja ya nafsi kwamba ametoa 1.5 billion ananunua Ferrari sio mbaya ni sawa na huyo Masai akitoa 1.5 laki kununua ndama dume.

Ila havifanani sema bilioni, halafu sema laki 😂 ashieeenalee
 
Hio Bilioni nani kasema Value yake ni kama Ndama Dume ?

Je ni kweli Value ya Karatasi lililoandikwa Dollar na Sifuri kadhaa linashinda value ya Kiumbe hai kinachoweza kuleta Ndama kadhaa na kutoa maziwa...

What's the Really Value of a Product ?

Mwisho wa siku utagundua Marketing na Promotion na Pia Product Placement (Exclusivity) vinaweza kupelekea an inferior product kuonekana ina value kuliko uhalisia..., ila when push comes to shove kwenye scarcity na sina excess (disposable income) utaona kwamba slice ya mkate na maji inaweza ikawa na value kuliko jiwe linaloitwa (diamond) ?

Huenda tu tatizo la Mmasai ni kwamba hajui marketing...
 
Si uongee kiswahili tu....unapanic na magari ya watu kwa nini?
 
Unaongea mambo makubwa sana ambayo hayahitaji mjadala wa kishabiki au mtazamo wa njia moja kuyajadili.Utajiumiza kichwa tu na baadhi ya watu humu 🤣
 
Hio Bilioni nani kasema Value yake ni kama Ndama Dume ?

Je ni kweli Value ya Karatasi lililoandikwa Dollar na Sifuri kadhaa linashinda value ya Kiumbe hai kinachoweza kuleta Ndama kadhaa na kutoa maziwa...

What's the Really Value of a Product ?

Mwisho wa siku utagundua Marketing na Promotion na Pia Product Placement (Exclusivity) vinaweza kupelekea an inferior product kuonekana ina value kuliko uhalisia..., ila when push comes to shove kwenye scarcity na sina excess (disposable income) utaona kwamba slice ya mkate na maji inaweza ikawa na value kuliko jiwe linaloitwa (diamond) ?

Huenda tu tatizo la Mmasai ni kwamba hajui marketing...
Sasa Kama hajui value au marketing tumsaidiaje. Ahame tu
 
hutu tu gari sijawahi kutupenda hata bure sichukui cha ajabu tuna bei ya hatari na nusu ...sasa sijui uthamini wake huwa unapimwaje yaani nje ya kutengenezwa na binadamu kwa asilimia 95 sijuiagi sifa nyingine ya hutu tu kitu
 
Hivi zlatan anatosha kwenye ferrari? Mi nlijua wakina neymar na raheem tu ndio wanatosha, yeye aendeshe RR
 
hutu tu gari sijawahi kutupenda hata bure sichukui cha ajabu tuna bei ya hatari na nusu ...sasa sijui uthamini wake huwa unapimwaje yaani nje ya kutengenezwa na binadamu kwa asilimia 95 sijuiagi sifa nyingine ya hutu tu kitu
Ungelikuwa na hela ya kununua kisha ukaandika hivi ningekuelewa ila kama hiyo hela ya kununua huna na unaandika hivi sijui hata nikuite jina gani
 
hutu tu gari sijawahi kutupenda hata bure sichukui cha ajabu tuna bei ya hatari na nusu ...sasa sijui uthamini wake huwa unapimwaje yaani nje ya kutengenezwa na binadamu kwa asilimia 95 sijuiagi sifa nyingine ya hutu tu kitu
"Brand" ndio inafanya kua na hiyo thamani,

Hiyo hiyo gari ukiitoa logo ya Ferrari na ukaiwekea logo ya Hyundai haiwezi kua na hiyo thamani.
 
Hio Bilioni nani kasema Value yake ni kama Ndama Dume ?

Je ni kweli Value ya Karatasi lililoandikwa Dollar na Sifuri kadhaa linashinda value ya Kiumbe hai kinachoweza kuleta Ndama kadhaa na kutoa maziwa...

What's the Really Value of a Product ?

Mwisho wa siku utagundua Marketing na Promotion na Pia Product Placement (Exclusivity) vinaweza kupelekea an inferior product kuonekana ina value kuliko uhalisia..., ila when push comes to shove kwenye scarcity na sina excess (disposable income) utaona kwamba slice ya mkate na maji inaweza ikawa na value kuliko jiwe linaloitwa (diamond) ?

Huenda tu tatizo la Mmasai ni kwamba hajui marketing...
Umeongea point.
 
Wivu,masononeko, inferiority complex, anxiety na umasikini unakusumbua we Joseph kusheku msukuma

Msukuma amezoea kununua mabasi mabovu ya BODY kenya ndio anajipambanua kuwa nae Tajiri!!! Tajiri hajifichi kama Makonda kuogopa madeni/polisi!!!
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
hutu tu gari sijawahi kutupenda hata bure sichukui cha ajabu tuna bei ya hatari na nusu ...sasa sijui uthamini wake huwa unapimwaje yaani nje ya kutengenezwa na binadamu kwa asilimia 95 sijuiagi sifa nyingine ya hutu tu kitu
Kitu ambacho huwezi na huna basi uwezi kujua uzuri wake na hutokipenda kamwe na ndio maana watu wachache wenye pesa tu ndo wanamiliki.... Wewe endelea kuipenda passo na ist tu
 
Back
Top Bottom