Lwiva JF-Expert Member Apr 17, 2015 12,594 17,725 Jul 12, 2023 #41 Bush Dokta said: Nimeshangazwa na ukimya wa hali ya juu wa Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao. Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe. Huko aliko yuko salama? DP world! Click to expand... Zitto ni mtu aliye kufa kibudu kisiasa hivyo kwa sasa anatumia unafiki na ubinafsi kuishi ...hakuna mtu pale
Bush Dokta said: Nimeshangazwa na ukimya wa hali ya juu wa Zuber Zitto Kabwe mtu aliyesifika kupambani haki za Watanzania kwa ujumla wao. Walioko karibu na huyu Kiongozi wa ACT wazalendo watujulishe. Huko aliko yuko salama? DP world! Click to expand... Zitto ni mtu aliye kufa kibudu kisiasa hivyo kwa sasa anatumia unafiki na ubinafsi kuishi ...hakuna mtu pale