Zitto yu wapi Bunge la Bajeti?

Umemaliza O-level ama umekimbilia Bavicha tu wewe?
Margaret thinker ndio nan?

na hili ndio tatizo la watanzania hudhani kujua kingeraza ndio kusoma kingereza ni kama kisuma tu ............usomi unapimwa kwa namna ambayo mwanadamu anaweza kulink maarifa aliyonayo kwa kicha ikiwa from formal or informal education wakati wa ksolve matatizo


na ndio maana wale waliokuwa wanajiita akili kubwa atuwaoni tena huku jamii forum because they thought that was the right way to solve thing

kumbe wako na akili ndogo sana juzi yale aliyokuwa anyapinga chadema,anatangaza kuwa kuna kiti cha uenyekiti cha wazi ACT ambacho anadhani ZITTO anafaa kuongoza ...........kwa sisi tunasema Dr anakili ndogo ameshindwa kulink alichokuwa anakemea kwenye nyaraka zake na anachosema anakiamini
 
Mkuu, Zitto anamuuguza mama yake! Mama ni mgonjwa na amelazwa hospitali. Anahitaji sala zetu kama binadamu wengine! Zitto pia anahitaji support yetu katika kipindi hiki

mbona tulikuwa naye katika mkutano wa nssf hapa aicc last week? kwani mamake kaanza ugua lini?
 
mbona tulikuwa naye katika mkutano wa nssf hapa aicc last week? kwani mamake kaanza ugua lini?

Mamake alikuwa India kwa matibabu. Na alirudi na akawa anaendelea na matibabu nyumbani. Siku tatu zilizopita alizidiwa na kukimbizwa hospitali ambako anaendelea na matibabu. Hali yake c nzuri kwa sasa. Kuhusu kuhudhuria mkutano ni kweli ila kabla mamake hajazidiwa
 
Naomba kuuliza ule utamaduni unaosemwa wa kabila moja nyanda za juu kusini kutoa kafara ndugu ,jamaa hata watoto ili kufanikisha haja zao kule kigoma upo?isije ikawa ndio njia yenyewe kuuguza na baadae kufanikisha kuanza kwa chama kipya

'Mkuu haya maneno yaweza kuwa kweli maana mimi nimeishi huko kigoma,kafara ni jadi yao ili mambo yakae sawa au kama ni biashara zisiharibike,sasa huyo dogo mambo yanamwendea kombo na chama ACT hakieleweki,turufu ni kutoa kafara,na mara nyingi kafara huwa ni mama au mtoto,sina uhakika kama dogo ana mtoto na kama hana options ni mama,tuombe mungu mama apone maana aking'oka lazima dogo ajiweke saw,Zile alizotoa kafara nyuma naona zimeexpire.' Ni mtazamo tu, mara nyingi siamini mazingaombwe lakini yapo
 
Mamake alikuwa India kwa matibabu. Na alirudi na akawa anaendelea na matibabu nyumbani. Siku tatu zilizopita alizidiwa na kukimbizwa hospitali ambako anaendelea na matibabu. Hali yake c nzuri kwa sasa. Kuhusu kuhudhuria mkutano ni kweli ila kabla mamake hajazidiwa

copied mkuu
 
Zitto ameyafanya mengi na sauti yake imesikika sana juu ya wanyonge zaidi ya wakina Mbowe na Slaa wapiga kelele kwenye majukwaa,Hachana na Zitto anauwezo.
 
Popote nenda duniani hakuna zambi mbaya kama usaliti,that was a mistake my brother 'Nyepesi' did.Ni rahisi kuandika na kutunza ubaya kwenye chuma kuliko kuandika mazuri ardhini,yanafutika dk hiyohiyo,Zingatia siasa ni mchezo wa kimazingaombwe,ukikosea unapotezwa faster.Acha ushabiki wa Arsenal na Man U,hapa ni life ndilo tunalopigania,kashatuvuruga wala hatumhitaji tena na atajutia siku zote umoja ni nguvu utengano ni udhaifu aende ACT aonekama hajakalia kuti.Kwa nyongeza 'Mganga hajigangi' Tunguli limeisha nguvu hapo mother kafara


Zitto ameyafanya mengi na sauti yake imesikika sana juu ya wanyonge zaidi ya wakina Mbowe na Slaa wapiga kelele kwenye majukwaa,Hachana na Zitto anauwezo.
 
kabwe Zitto ana Nyota ya chips mayai usipokula wewe mkeo atakula au mwanao. yaaani katika familia lazima Chps mayai ipendwe kwa hiyo Kabwe ni baba lao yuko kimia lakn mnamuulizia. teh teh chezeya kabwe wewe
 
kuna taarifa zilivujaaa toka idara ya ujasusi na usalama wa chadema.....kuwa kuna mkakati wa kumzuia zitto kabwe...kuongea maana ana siri nzitoo na walaka mzitoo juu ya
1.chadema....na hoja za ukanda....
2.chadema na udini.....
3.chadema...na hoja ya viti maalum
4.dk.slaa akihusishwa na wizii wa kujikopesha pesa za chama,,,
5.freeman mbowe na ndesamburo....kutengeneza mtandao wa kuwekaa wachaga idara za juu ndani ya chama.... kwa kushika nyadhifa za juu ndani ya chama....

6.chadema na mkakati wa mangi maleare juu ya kutaka mkoa wa kilimanjaro ...kuitwa nchii



nani atamuelewa ,amechelewa ,wananchi wengi wanaipenda chadema hivyo hawawezi kumuelewa,sawasawa na mwanaume aliyelishwa limbwata hata umwambie nn juu ya mke wake hawezi kukuelewa,hivyo ndivyo ilivyo kwa chadema na watanzania,wamelishana limbwata la kingoni zzk hataweza
 
Kondom Ikishatumika Huwa Unairudia Tena Kuitumia? Kwahiyo Zzk Ni Sawa Na Kondom Iliyotumiwa Na Chama Cha Majambazi, Na Sasa Wanataka Wanunue Kondom Nyingine Toka Upinzani Kisha Waitumie Na Hatimae Wakamdampo Jalalani Kama Wald Kaborou,ngawaiya,tambwe,hamad Rashid
 
Pilipili usioila yakuwashia nini? ZZK hawahusu na ana mipango yake binafsi, mulimwona hafai kabisa sasa unamuulizia kwa manufaa gani Kama sio umbea tu mtoto wa kike?

Akikaa kimya hoja, akiongea shida sasa afanyaje? Muulize Mbowe atakupa majibu!
 
Back
Top Bottom