Mulungwani
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 456
- 84
Zitto ameyafanya mengi na sauti yake imesikika sana juu ya wanyonge zaidi ya wakina Mbowe na Slaa wapiga kelele kwenye majukwaa,Hachana na Zitto anauwezo.
Rekebisha hapo kwenye HACHANA sijalielewa hilo neno (HACHANA) lina maana gani? ni kiswahili kweli au ni kiswazi?