Zitto yu wapi Bunge la Bajeti?

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
30,544
2,000
Wakuu wa UKAWA,Intarahamwe na wengine naombeni kujua Zitto Kabwe yupo wapi bunge la Bajeti.Nikiri tu siangalii bunge dk zote lakini napata fursa ya kuangalia michango bora ktk taarifa za habari na magazeti,simuoni!!

Spika acha kumbania mwenyekiti.
 
T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
2,000
Wakuu wa Ukawa,Inatarahamwe na wengine naombeni kujua Zito K yu wapi bunge la katiba.Nikiri tu siangalii bunge dk zote lakini napata fursa ya kuangalia michango bora ktk taarifa za habari na magazeti,simuoni!!Spika acha kumbania mwenyekiti

chadema bila zitto haiwezrkani
 
STIDE

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
997
195
Yaani hapa JF ndo kabisaaa hataki hata kupasikia!!!! Alikuwa anajikakamua kidogo wakati hajatu-esikarioti, lakini tangu ajifanye Yuda na JF kuna data zake watu hawampi nafasi, kapotea jumla ndo hivo tena na Bungeni anaona aibu hata ya kusimama!!

Yangu macho.......
 
Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,939
2,000
Tuliwaambia hamuwezi kuishi bila zitto ona sasa kucha mnamuota zitto wakati yeye hanashida na nyie na bado mtapata shida sana juu ya zitto.
 
Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,939
2,000
Yaani hapa JF ndo kabisaaa hataki hata kupasikia!!!! Alikuwa anajikakamua kidogo wakati hajatu-esikarioti, lakini tangu ajifanye Yuda na JF kuna data zake watu hawampi nafasi, kapotea jumla ndo hivo tena na Bungeni anaona aibu hata ya kusimama!!

Yangu macho.......
Bila kutaja jina la zitto tunajua mtalala njaa endeleeni kulitaja ili mpate kula na kuendesha familia zenu make mnalipwa kwa kumchafua zitto.
 
STIDE

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
997
195
Bila kutaja jina la zitto tunajua mtalala njaa endeleeni kulitaja ili mpate kula na kuendesha familia zenu make mnalipwa kwa kumchafua zitto.

Kwa taarifa yako wewe na Zitto mko mfukoni kwangu!! Uwe na adabu sio wote wanalipwa kama wewe!!
 
MoudyBoka

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
909
1,000
Wkend ya Ijmaa alikuwa Billicanas kwenye show ya Road to MAMA na yule fiance wake!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom