Zitto yu wapi Bunge la Bajeti?

Hivi nyinyi mnakuja kumtukana Mh.Zitto humu jamvini,alafu mlivyo wanafki eti nimeangalia michango "bora" simuoni!!

Kumbe mnamkubali sana eeh?,sasa ni nini kinawasumbua nae...

Najua akiongea Bungeni mtarudi hapa na majungu yenu!

Dah,kweli binadamu tu wanafki sana...dah!!!
 
Wakuu wa Ukawa,Intarahamwe na wengine naombeni kujua Zito K yu wapi bunge la Bajeti.Nikiri tu siangalii bunge dk zote lakini napata fursa ya kuangalia michango bora ktk taarifa za habari na magazeti,simuoni!!Spika acha kumbania mwenyekiti

nimekutana na swali hili huku jamii forum labda tumuulize, maana jamii forum amekuwa ni view he never comment au ni yule ambey kila siku huwa anakuja na id mpya

QUOTE=Lukolo;689097]Ndugu wana JF,
Nimeona niilete jukwaani hii hoja ya report ya kamati ya uchunguzi wa mikataba ya madini ambayo Zitto alikuwa ni member! Hatukuwahi kusikia matokeo ya uchunguzi wa kamati ile, na Zitto mwenyewe amenyamaza kimya wala hasemi chochote kuhusu matokeo ya kazi aliyoifanya. Je amefumbwa mdomo?[/QUOTE]
 
nimekutana na swali hili huku jamii forum labda tumuulize, maana jamii forum amekuwa ni view he never comment au ni yule ambey kila siku huwa anakuja na id mpya

QUOTE=Lukolo;689097]Ndugu wana JF,
Nimeona niilete jukwaani hii hoja ya report ya kamati ya uchunguzi wa mikataba ya madini ambayo Zitto alikuwa ni member! Hatukuwahi kusikia matokeo ya uchunguzi wa kamati ile, na Zitto mwenyewe amenyamaza kimya wala hasemi chochote kuhusu matokeo ya kazi aliyoifanya. Je amefumbwa mdomo?
[/QUOTE]

amewekwa kufuri huyu jamaaa
 
Hivi nyinyi mnakuja kumtukana Mh.Zitto humu jamvini,alafu mlivyo wanafki eti nimeangalia michango "bora" simuoni!!

Kumbe mnamkubali sana eeh?,sasa ni nini kinawasumbua nae...

Najua akiongea Bungeni mtarudi hapa na majungu yenu!

Dah,kweli binadamu tu wanafki sana...dah!!!

nenda kwenye facebook wake 50% ya member wanamponda ndani ya ofice yake ya twitter na facebook labda waje

kama ameshindwa kuwahandle follow wake na maanisha wafuasi wake facebook anaweza kuja kwa margaret thinker who are logical analysing issues
 
Wakuu wa UKAWA,Intarahamwe na wengine naombeni kujua Zitto Kabwe yupo wapi bunge la Bajeti.Nikiri tu siangalii bunge dk zote lakini napata fursa ya kuangalia michango bora ktk taarifa za habari na magazeti,simuoni!!

Spika acha kumbania mwenyekiti.

mh zitto anauguliwa tumuombee mgonjwa wake kw mungu apone haraka
 
nimekutana na swali hili huku jamii forum labda tumuulize, maana jamii forum amekuwa ni view he never comment au ni yule ambey kila siku huwa anakuja na id mpya

QUOTE=Lukolo;689097]Ndugu wana JF,
Nimeona niilete jukwaani hii hoja ya report ya kamati ya uchunguzi wa mikataba ya madini ambayo Zitto alikuwa ni member! Hatukuwahi kusikia matokeo ya uchunguzi wa kamati ile, na Zitto mwenyewe amenyamaza kimya wala hasemi chochote kuhusu matokeo ya kazi aliyoifanya. Je amefumbwa mdomo?
[/QUOTE]

Pesa ya kupitia German si mchezo!
 
Naomba kuuliza ule utamaduni unaosemwa wa kabila moja nyanda za juu kusini kutoa kafara ndugu ,jamaa hata watoto ili kufanikisha haja zao kule kigoma upo?isije ikawa ndio njia yenyewe kuuguza na baadae kufanikisha kuanza kwa chama kipya
Amakweli CDM ilikuwa inawapa umaarufu watu wengi sana..

Ule mvuto wa ZZK umepukutika kabisa....Huwa nikimuona naona kama anataka kunitupia uchawi..
 
anamuuguza mama yake. tumuombee mama Zitto apone upesi jembe liludi mzigoni mapema iwezekanavyo.
 
Wakuu wa UKAWA (Boko Haram),Intarahamwe na wengine naombeni kujua Zitto Kabwe yupo wapi bunge la Bajeti.Nikiri tu siangalii bunge dk zote lakini napata fursa ya kuangalia michango bora ktk taarifa za habari na magazeti,simuoni!!

Spika acha kumbania mwenyekiti.

Mkuu hapo kwenye red nimeongezaulipitiwa kuongeza.
 
Pesa ya kupitia German si mchezo![/QUOTE]
kumbe ndio ilimnyamazisha ...............................................
 
Back
Top Bottom