Wakuu wa UKAWA,Intarahamwe na wengine naombeni kujua Zitto Kabwe yupo wapi bunge la Bajeti.Nikiri tu siangalii bunge dk zote lakini napata fursa ya kuangalia michango bora ktk taarifa za habari na magazeti,simuoni!!
Spika acha kumbania mwenyekiti.

[/QUOTE]nimekutana na swali hili huku jamii forum labda tumuulize, maana jamii forum amekuwa ni view he never comment au ni yule ambey kila siku huwa anakuja na id mpya
QUOTE=Lukolo;689097]Ndugu wana JF,
Nimeona niilete jukwaani hii hoja ya report ya kamati ya uchunguzi wa mikataba ya madini ambayo Zitto alikuwa ni member! Hatukuwahi kusikia matokeo ya uchunguzi wa kamati ile, na Zitto mwenyewe amenyamaza kimya wala hasemi chochote kuhusu matokeo ya kazi aliyoifanya. Je amefumbwa mdomo?
Jamani watu wa jf mimi ni mgeni naomba nipokelewe
Mkuu unasema kweli?
nenda kwenye facebook wake 50% ya member wanamponda ndani ya ofice yake ya twitter na facebook labda waje
kama ameshindwa kuwahandle follow wake na maanisha wafuasi wake facebook anaweza kuja kwa margaret thinker who are logical analysing issues