Zitto: Watumiaji wangekuwa na moyo wa dhati kama mkusanyaji Kitilya, tungepiga hatua kubwa sana

Zitto amesifia utendaji wake wa ukusanyaji wa mapato kipindi kile.....nna uhakika hawezi sifia upuuzi alioufanya huyo jamaa....na ndio maana hata leo hii anasapoti watuhumiwa washughulikiwe ikiwamo na wale waliosababisha ishu ya rada (BAE).

Cha ajabu nyie na CDM yenu mnataka muaminiwe ilhali mlimpa maskendo kibao Lowasa ya ufisadi na kwamba hafai (Kumbuka wakati dili hili linafanyika mtendaji mkuu stanbic bank alikua yule mkenya wa lowasa aliyefukuzwa Tanzania, na ndiyo alikua mwanamkakati mkuu wa lowasa).....ila sasa mmemkumbatia mnasema msafi......kweli nyani haoni kundule.

Zitto bado yupo sahihi.....almsifu kabla ya kujua uovu wake.
 
Hongera zito ww ni roll model wangu, mungu akupe maisha marefu

Unalo na roll model wako, unapewa nukuu unasoma lakini huelewi kina ongelewa nini unakurupuka tu, wabongo bana hasa hawa wachumia tumbo kazi tunayo. Nashauri nick name hizi zifutwe tutumie majina halisi ili tutambuane kwa uso, waweza likuta hili jamaa lipo ofisi nyeti kabisa tena ndani ya suti kubwa toka Itary, linacho changia niaibu fyuuuuu!
 
Hii post ya ZZK ni ya August 17, 2013. Kitilya kabadilika, si yule mtakatifu tena. Ni imani yaku pia kuwa hata ZZK hawezi kuandika maneno hayo leo kwa sababu yawezekana "mtakatifu Kitilya" amekuwa muovu.
 
Zitto amesifia utendaji wake wa ukusanyaji wa mapato kipindi kile.....nna uhakika hawezi sifia upuuzi alioufanya huyo jamaa....na ndio maana hata leo hii anasapoti watuhumiwa washughulikiwe ikiwamo na wale waliosababisha ishu ya rada (BAE).

Cha ajabu nyie na CDM yenu mnataka muaminiwe ilhali mlimpa maskendo kibao Lowasa ya ufisadi na kwamba hafai (Kumbuka wakati dili hili linafanyika mtendaji mkuu stanbic bank alikua yule mkenya wa lowasa aliyefukuzwa Tanzania, na ndiyo alikua mwanamkakati mkuu wa lowasa).....ila sasa mmemkumbatia mnasema msafi......kweli nyani haoni kundule.

Zitto bado yupo sahihi.....almsifu kabla ya kujua uovu wake.

masikini Zitto jamani
 
Last edited by a moderator:
Hamna kitu katika hii mada, ni muendelezo uleule wa bavicha kumchafua ZZK.

Ukisoma hiyo posti tena ya mwaka 2013 ZZK, anasifu ukusanyaji wa mapato uliosimamiwa na huyu bwana, lakini hakuna mahali Kamuunga mkono kwa Ufisadi wake!

Ifahamike kuwa wakati huo Kitilya alikuwa hajajulikana kujihusisha na Ufisadi wowote, kwa hiyo ingekuwa ni ajabu eti ZZK kwa wakati huo amlipue!

Ila kwa sasa zimekuja new information kwa hiyo ni haki kwa ZZK au mtu yeyote kumtilia shaka huyo Kitilya!
 
Hasadi ni uhasidi unaompa HASIDI taabu ya moyo kwa kuona kusikia mtu anaemfisidi anamshinda kila kuchwao
 
Kwahili inawezekana Zitto alikuwa hajui ufisadi wa huyu bwana .....mtu anaweza kuwa mchapakazi ila si muadilifu ...hapo kasifia uchapakazi wake si uadilifu .....
 
isije ikawa kama yale makontena 9 kusema ya wizi yamekwepa kodi kumbe kodi zimelipwa taaluma ya waandishi wetu na wahariri wao ni za kuangaliwa upya kama madereva wameambiwa wakasome tena basi na hawa waandishi wakasome upya
 
Hamna kitu katika hii mada, ni muendelezo uleule wa bavicha kumchafua ZZK.

Ukisoma hiyo posti tena ya mwaka 2013 ZZK, anasifu ukusanyaji wa mapato uliosimamiwa na huyu bwana, lakini hakuna mahali Kamuunga mkono kwa Ufisadi wake!

Ifahamike kuwa wakati huo Kitilya alikuwa hajajulikana kujihusisha na Ufisadi wowote, kwa hiyo ingekuwa ni ajabu eti ZZK kwa wakati huo amlipue!

Ila kwa sasa zimekuja new information kwa hiyo ni haki kwa ZZK au mtu yeyote kumtilia shaka huyo Kitilya!

Kwahili inawezekana Zitto alikuwa hajui ufisadi wa huyu bwana .....mtu anaweza kuwa mchapakazi ila si muadilifu ...hapo kasifia uchapakazi wake si uadilifu .....
Mkuu Gamba la Nyoka na mkuu MTAZAMO Taarifa ya huu ufisadi imetolewa mwaka huu lkn hizi pesa zilipigwa kipindi hicho hicho ambacho Zitto alikuwa anamsifia huyu jamaa. Halafu hata ukiangalia leo anachokilalamikia Rais magufuli cha watu kukwepa kodi kilikuwepo zaidi wakati huo zitto akisifia ukusanyaji. Tuache ushabiki hii nchi ni yetu sote.
 
Last edited by a moderator:
Katika mwanzo wa mwaka 2013 niliandika makala maarufu yenye kichwa cha habari "Ninavyomfahamu Zitto Zubeir Kabwe - Kilio cha Usaliti (sehemu ya tatu) https://groups.google.com/forum/#!msg/mabadilikotanzania/mfpXgJn6b3o/XvYn83FRLe4J, thread hii labda imeingia katika rekodi ya thread zilizokaa kwa muda mfupi zaidi katika jukwaa la siasa hapa Jamiiforums, maana ilitolewa instantly. Katika moja ya majibu ya Zitto wakati huo yalikuwa ni haya, namnukuu;
Baada ya hapo sikujibu tena, sikuendelea na mjadala, nilikaa kimya. Lakini hatma ya mwisho wa jambo hilo ulibainika na leo hii ni ukweli kuwa Zitto sio mwanachama tena wa CHADEMA (chama alichokijenga kwa jasho na damu) na amevunja kiapo chake kuwa "kamwe sitaondoka"

Nimeyakumbuka maneno haya kwenye maandiko ya kale baada ya kuona kicha cha habari kwenye magazeti ya leo yaliyosheheni habari ya ufisadi wa mabilioni unaomhusisha mkurugenzi muandamizi wa TRA Mhe. Harry Kitilya, nikastuka nikikumbuka mahusiano yake na Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe Zitto Zubeir Kabwe na maneno ya praise na ngonjera za mapambo alizokuwa akizitoa kumpamba bosi huyo ambaye ni rafiki yake wa karibu.

CVNE62GWEAAgCyL.jpg

Haya ndio maneno ya Mzalendo Zitto akimuelezea KITILYA...

CVNE63-WcAA9em7.jpg

Na haya ni maneno ya Ikulu na wahariri wa Magazeti ya leo kuhusu KITILYA...

Kwa namna yeyote ile, kwenye maelezo ya mmoja wao hakuna ukweli, kuna uongo, unafiki, kujikomba na kumtumikia shetani...yote tisa, Historia ipo ili ikumbukwe na itoe majibu yahusuyo kesho yetu..!!

Kila la Heri Mzalendo Zitto, nadhani unajua ninachokijua..!!!

Mhh mkuu Mtela Mwampamba hapa umetuchabganya wasomaji na watu tuliokuwa tunafuatilia siasa zako toka ulipokuwa CDM na kisha kujiunga CCM, itendee haki JF shusha material zaidi maana hii ni historia unaiandika ili ije kukumbukwa
 
Last edited by a moderator:
Samahani jamani naomba kuuliza! Hivi ATC WAZELENDO kina viti vingapi vya Wabunge pale mjengoni?
 
somo, tenda sana andika au ongea panapobidi.

Hawa jamaa wanaongeaongea ovyovyo hadi wanajifunga, wanasiasa wa bongo wamezidi kuongeongea ovyo na kuridhishwa na utendaji wa juujuu.

nchi hii imeshindikana, kila kijana anataka sifa za fasta hata kwa vitu vidogo. ukona mwanasiasa anamsifia mtu na kujifanya anamjua sana muangalie vizuri.

Mtu unajitambua,

Mkono anakugawia shangingi hujiulizi eti ni rafiki yangu.
Kitilya nae ni rafiki yangu
Mzalendo unatembea na HUMMER, ukibanwa oohh nilipewa na kaka yangu nishaliuza.

mtu huyu inabidi nguvu ya ziada kumuamini.
 
Back
Top Bottom