mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,306
- 6,514
Zitto amesifia utendaji wake wa ukusanyaji wa mapato kipindi kile.....nna uhakika hawezi sifia upuuzi alioufanya huyo jamaa....na ndio maana hata leo hii anasapoti watuhumiwa washughulikiwe ikiwamo na wale waliosababisha ishu ya rada (BAE).
Cha ajabu nyie na CDM yenu mnataka muaminiwe ilhali mlimpa maskendo kibao Lowasa ya ufisadi na kwamba hafai (Kumbuka wakati dili hili linafanyika mtendaji mkuu stanbic bank alikua yule mkenya wa lowasa aliyefukuzwa Tanzania, na ndiyo alikua mwanamkakati mkuu wa lowasa).....ila sasa mmemkumbatia mnasema msafi......kweli nyani haoni kundule.
Zitto bado yupo sahihi.....almsifu kabla ya kujua uovu wake.