Natamani UVCCM na BAVICHA wangekuwa na Uzalendo kwa nchi kama watoto wadogo wa Kipalestina wanaokamatwa na IDF!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Kimsimamo naiunga mkono Israel huko Gaza lakini Ndani ya moyo wangu nimeshangazwa sana na Ujasiri wa wale Watoto wa chini ya miaka 12 wanaopambana na Israel.

Muda mfupi nimeona hapa Al Jazeera News mtoto mdogo wa Kipalestina akimuokoa mtoto mwenzake kutoka mikononi mwa mwanajeshi wa Israel mwenye silaha kali, jamani machozi yamenilengalenga kwa huruma.

Natamani vijana wetu hawa Machawa wa UVCCM na BAVICHA wangekuwa na spirit ya kuitetea nchi yao kama hawa watoto wadogo kabisa wa Kipalestina.

Mungu wa mbinguni awalinde watoto wa Palestine, amen!
 
Hamas na IDF kuna ni saa yeyote na popote pale....wwanauana sanaaa khaaaa huku ujinga umetutawala ....uonga milele aminaa..
 
Kimsimamo naiunga mkono Israel huko Gaza lakini Ndani ya moyo wangu nimeshangazwa sana na Ujasiri wa wale Watoto wa chini ya miaka 12 wanaopambana na Israel.

Muda mfupi nimeona hapa Al Jazeera News mtoto mdogo wa Kipalestina akimuokoa mtoto mwenzake kutoka mikononi mwa mwanajeshi wa Israel mwenye silaha kali, jamani machozi yamenilengalenga kwa huruma.

Natamani vijana wetu hawa Machawa wa UVCCM na BAVICHA wangekuwa na spirit ya kuitetea nchi yao kama hawa watoto wadogo kabisa wa Kipalestina.

Mungu wa mbinguni awalinde watoto wa Palestine, amen!
Bwashee, usitake kuifananisha BAVICHA na vitu vya kipuuzi na vyenye laana kama machawa ya UVCCM.
 
Kimsimamo naiunga mkono Israel huko Gaza lakini Ndani ya moyo wangu nimeshangazwa sana na Ujasiri wa wale Watoto wa chini ya miaka 12 wanaopambana na Israel.

Muda mfupi nimeona hapa Al Jazeera News mtoto mdogo wa Kipalestina akimuokoa mtoto mwenzake kutoka mikononi mwa mwanajeshi wa Israel mwenye silaha kali, jamani machozi yamenilengalenga kwa huruma.

Natamani vijana wetu hawa Machawa wa UVCCM na BAVICHA wangekuwa na spirit ya kuitetea nchi yao kama hawa watoto wadogo kabisa wa Kipalestina.

Mungu wa mbinguni awalinde watoto wa Palestine, amen!
1701489522843.png
 
Back
Top Bottom