Zitto: Watumiaji wangekuwa na moyo wa dhati kama mkusanyaji Kitilya, tungepiga hatua kubwa sana

magode

JF-Expert Member
Oct 2, 2014
2,201
3,323
1449043322797.jpg

Siongezi neno hapa..!
 
Katika mwanzo wa mwaka 2013 niliandika makala maarufu yenye kichwa cha habari "Ninavyomfahamu Zitto Zubeir Kabwe - Kilio cha Usaliti (sehemu ya tatu) https://groups.google.com/forum/#!msg/mabadilikotanzania/mfpXgJn6b3o/XvYn83FRLe4J, thread hii labda imeingia katika rekodi ya thread zilizokaa kwa muda mfupi zaidi katika jukwaa la siasa hapa Jamiiforums, maana ilitolewa instantly. Katika moja ya majibu ya Zitto wakati huo yalikuwa ni haya, namnukuu;
I am too senior kukaa na watoto kama kina Mwampamba kujadili mikakati ya kisiasa. Kuna jambo siwezi kufanya katika maisha yangu ie kusaliti chama changu ambacho nimekijenga kwa jasho na damu. Walioingia chadema baada ya kuona tumaini jipya, kama wanaona maslahi yao hafikiwi waondoke kama Mwampamba lakini sisi tuliowekeza muda wetu na akili zetu kwenye chama hiki cha chadema kamwe hatutaondoka. Tofauti zetu tutazimaliza kwa vikao vya chama na sio kwa kukimbilia CCM.
Sent from my BlackBerry? smartphone on the Tigo Tanzania Network
Baada ya hapo sikujibu tena, sikuendelea na mjadala, nilikaa kimya. Lakini hatma ya mwisho wa jambo hilo ulibainika na leo hii ni ukweli kuwa Zitto sio mwanachama tena wa CHADEMA (chama alichokijenga kwa jasho na damu) na amevunja kiapo chake kuwa "kamwe sitaondoka"

Nimeyakumbuka maneno haya kwenye maandiko ya kale baada ya kuona kicha cha habari kwenye magazeti ya leo yaliyosheheni habari ya ufisadi wa mabilioni unaomhusisha mkurugenzi muandamizi wa TRA Mhe. Harry Kitilya, nikastuka nikikumbuka mahusiano yake na Mbunge wa Kigoma Mjini Mhe Zitto Zubeir Kabwe na maneno ya praise na ngonjera za mapambo alizokuwa akizitoa kumpamba bosi huyo ambaye ni rafiki yake wa karibu.

CVNE62GWEAAgCyL.jpg

Haya ndio maneno ya Mzalendo Zitto akimuelezea KITILYA...

CVNE63-WcAA9em7.jpg


Na haya ni maneno ya Ikulu na wahariri wa Magazeti ya leo kuhusu KITILYA...

Kwa namna yeyote ile, kwenye maelezo ya mmoja wao hakuna ukweli, kuna uongo, unafiki, kujikomba na kumtumikia shetani...yote tisa, Historia ipo ili ikumbukwe na itoe majibu yahusuyo kesho yetu..!!

Kila la Heri Mzalendo Zitto, nadhani unajua ninachokijua..!!!
 
By Zitto Kabwe, August 17, 2013.

"Kila mara ninapokaa na Harry Kitilya naona namna ambavyo baadhi ya Watanzania wana moyo wa dhati wa kufanyakazi na kuweka 'legacy' ya kudumu.

Wakati Watanzania fulani wanamzodoa kuna nchi kama Ethiopia zinamwomba kwa kumpigia magoti aende kuongoza Mamlaka zao za Mapato".
 

Attachments

  • IMG-20151202-WA0010.jpg
    IMG-20151202-WA0010.jpg
    60.3 KB · Views: 2,133
Sasa nawe utambue kuwa usimwamini mtu yeyote maishani mwako!
kwangu hilo wala halinisumbui,huo ni msimamo wangu tangu niwe na maamuzi yangu binafsi. Hakuna mtu hata mmoja hapa Duniani chini ya jua nnayemuamini kwa 100%. Wapo nnaowaheshimu kwa 100% lkn siwaamini kwa 100%.
 
Niliacha kumuamini huyu YUDA zamani mno
nnawajua watu wa kigoma vizuri sana
Zile A/c kule Uswiz alikula rushwa akachakachua majina na sasa atakula pesa za watuhumiwa atakuja kuwatetea kuwa alinukuliwa vibaya
 
Back
Top Bottom