gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
" Lakini nasononeshwa zaidi na kitu kinachoendelea ndani ya Chadema.
Nini kimetokea Chadema? Kwa nini tumejikuta tumeondoka katika mstari? Tupo wabunge 48 bungeni sasa, lakini hatusogezi mbele nchi, tumerudi nyuma wakati huo tulikuwa watano lakini tulikuwa tunaenda vizuri sana."
Hapo ndipo watu wengi humu ndani hawajawahi kukaa na kupatafakari kwa kina.
Wale wabunge wa cdm wanaojifanya ni mabingwa wa kumdhalilisha zito wote wameshindwa kufanya hiyo kazi hapo juu, mwenzao aliweza na ndio maana wao wakapata nafasi ya kuwepo bungeni Sasa hivi.
Leo wanajifanya wao ni cdm zaidi kuliko zito. Ifike mahala tukubali, mchango wa zito kwa cdm ni mkubwa sana na haupimiki kirahisi kama watu wengi humu ndani wanavyodhani.
Mlio wengi humu ndani mnaopiga kelele pia mmejaa cdm mainly kwa kazi kubwa aliyofanya zito. Lakini cha ajabu, na tena kwa umbumbu mkubwa kabisa mmeungana na hao wabunge waliongia bungeni kwa juhudi za mwenzao kumdhalilisha.
Kweli binadamu hawana shukrani.
Ndio maana washahili wakasema "tenda wema nenda zako usingoje shukrani".
Kwa kesi iliyoko Mahakamani hata kipofu anaweza kusoma maandishi ukutani kwa usahihi....CHADEMA haiwezi kushinda kwenye hii kesi. Lakini kwa mbinu imeweza kumzidi kete Zitto maana hukumu itatoka katika muda ambao Baraza Kuu alilolitaka litakuwa limeishaondoka Madarakani na kukabidhi kwa Baraza jipya. Hivyo hata ikiamriwa rufaa yake ikasikilizwe ndani ya chama na chombo kinachoitwa Baraza atapigwa mabao ya Brazil Vs German. Kwa hili Zitto lazima akubali bado ni mchanga kwenye siasa za kimikakati akijilinganisha na Mbowe.Zitto anajua kuwa tarehe 10 ndio ananyang'anywa rasmi kadi.
I saw this coming... two years ago. Nilitumia nguvu na juhudi nyingi sana kumshauri Zitto, kwani nilishaona kinachoelekea kutokea. Nilitukanwa na kuitwa msaliti humu lakini niliamini, na bado naamini kuna watu "wame - take advantage" ya udhaifu wa Zitto kummaliza na kuidhoofisha CHADEMA...
Kwa bahati mbaya Zitto hakunisikiliza! Najua mimi sio yeyote katika siasa, lakini kutokana na kufuatilia mambo machache kwenye hiyo siasa, basi yale machache ninayoyafuatilia nakuwa makini nayo...
Tatizo moja la Zitto ni kutokujua "weaknesses" zake... Kwani angeziua, bila shaka angezifanyia kazi, na isingekuwa rahisi kuchezewa kiasi hiki...
- Zitto wewe ni kiongozi mzuri sana lakini una ubinafsi kwenye suala la madaraka na umaarufu wa ksisiasa. Najua utakataa sana, but ukweli ni huo... Ulitakiwa tu ujue CHADEMA ni chama kimoja, na hakiwezi kuongozwa na watu wawili... baas. Then ujue kuna siku Mbowe angeachia madaraka, na wewe ungeongoza CHADEMA... baaas
Ushauri tena kwa sasa
Watu ulio nao ACT sio watu wa hadhi yako, wala sio watu wanaokutakia mazuri. Ndio wametumiaka kukudondosha CHADEMA, na wataendelea kutumika kukumaliza kisiasa... Huwezi kuwa na watu kama kina Mchange, eti useme ni watu makini! Are you kidding?
Akili ya zito ni zaidi ya viongozi na wanachama wote wa Chadema kwa pamoja.
Bila zito chadema ni sifuri
Bila zito chadema ni sifuri
Akili ya zito ni zaidi ya viongozi na wanachama wote wa Chadema kwa pamoja.
Wewe boya hakuna mbunge aliyepata ubunge kwa ajili ya Zitto wewe ni kilaza wa kwanza.
Ingia kwenye website ya vme ya uchaguzi uangalie Zitto mwaka 2005 alishinda kwa kura ngapi na asilimia ngapi? Kisha tupe matokeo ya Zitto mwaka 2010 alipata kura ngapi na asilimia ngapi? Je alapanda kisiasa au aliporomoka?
Njoo na hizo fact ndio ukate viuno vizuri. Tumbiri kama nyinyi ndio mnafanya tusichangie kabisa jukwaa hili.
Mkuu wangu hapa sintokubaliana na wewe kwa sababu tulosema ni wengi sana na tulitoa ushauri tofauti juu ya nini Chadema ikifanye. Zitto kama binadamu alikuwa na mapungufu yake ambayo sii mapungufu isipokuwa urahisi wa CCM kuwagombanisha viongozi wa Chadema na wao ndio walitakiwa kulijua hili mbele ya safari. Mbowe pia kama binadamu alikuwa na mapungufu yake kwa kusikiliza kila anachoambiwa na kuamini. Tatizo lao wote ilikuwa ni Ambition yao na wakawa Curious sana na vitu vinavyoendelea pembeni yao - At the end curiousity killed the cat!I saw this coming... two years ago. Nilitumia nguvu na juhudi nyingi sana kumshauri Zitto, kwani nilishaona kinachoelekea kutokea. Nilitukanwa na kuitwa msaliti humu lakini niliamini, na bado naamini kuna watu "wame - take advantage" ya udhaifu wa Zitto kummaliza na kuidhoofisha CHADEMA...
Kwa bahati mbaya Zitto hakunisikiliza! Najua mimi sio yeyote katika siasa, lakini kutokana na kufuatilia mambo machache kwenye hiyo siasa, basi yale machache ninayoyafuatilia nakuwa makini nayo...
Tatizo moja la Zitto ni kutokujua "weaknesses" zake... Kwani angeziua, bila shaka angezifanyia kazi, na isingekuwa rahisi kuchezewa kiasi hiki...
- Zitto wewe ni kiongozi mzuri sana lakini una ubinafsi kwenye suala la madaraka na umaarufu wa ksisiasa. Najua utakataa sana, but ukweli ni huo... Ulitakiwa tu ujue CHADEMA ni chama kimoja, na hakiwezi kuongozwa na watu wawili... baas. Then ujue kuna siku Mbowe angeachia madaraka, na wewe ungeongoza CHADEMA... baaas
Ushauri tena kwa sasa
Watu ulio nao ACT sio watu wa hadhi yako, wala sio watu wanaokutakia mazuri. Ndio wametumiaka kukudondosha CHADEMA, na wataendelea kutumika kukumaliza kisiasa... Huwezi kuwa na watu kama kina Mchange, eti useme ni watu makini! Are you kidding?
Mkuu wangu hapa sintokubaliana na wewe kwa sababu tulosema ni wengi sana na tulitoa ushauri tofauti juu ya nini Chadema ikifanye. Zitto kama binadamu alikuwa na mapungufu yake ambayo sii mapungufu isipokuwa urahisi wa CCM kuwagombanisha viongozi wa Chadema na wao ndio walitakiwa kulijua hili mbele ya safari.
Tofauti kubwa ya Zitto na wanasiasa wengine ni kwamba wengi wamelishwa maji ya Ufisadi na wasingeweza hata siku moja kusimama mbele ya baraza ama bunge kupambana na Ufisadi. Zitto na Dr.Slaa peke yake ndio waloweza kusimama na kusema lakini Dr.Slaa hakuwa tishio kwa sababu Hawakujua kwamba huyu ndiye angekuja kugombea Uraia. Na ili kumbomoa Mbowe CCM walijua fika ugonvi nlazima uanze kwa Zitto na Mbowe na wakaunda nyenzo.
Mbowe na Zitto wamegombanishwa na wapambe ndani ya Chadema ambao walikuja kwa kazi hiyo na wapo hadi leo wakisema sana kama wao ndio wasafi na wanaonewa wao. na hakika wamefanikiwa kwa sababu ilikuwa ni jukumu la Mbowe Zitto na Dr.Slaa kukaa na wazee wa chama na kuweka maridhiano ktk mambo ambayo tayari yalisha anza kupambamoto.
Niliandika uzi humu kumsema Zitto juu ya kutoshirikiana na wenzake lakini nikaja gundua kwamba Zitto tayari alishawafahamu wabaya wake na walikuwa tayari wameisha ota mizizi ndani ya chama, Mbowe hakuwa mjanja kugundua haya nasi tulidhani mbaya wa Chama ni Zitto kumbe he was just wa weakest link ya kugombanisha viongozi wa Chadema hadi chama kisambaratike. Na nasema bado kuna mengi yatajitokeza mwaka huu kiasi kwamba imani ya wananchi wengi itapungua na Chadema haitakuwa mpizani wa CCM kama tulivyodhania.
- They should have known better
Nakubaliana na uloyasema isipokuwa pengine nimeanza vibaya ktk maelezo yangu.Mkuu mimi niliongelea tu upande wa Zitto kwa sababu ndiye hoja tuliyo nayo hapa. Simaanishi wengine nao hawana kasoro na walikokosea... zipo.
Ila kwa upande wa Zitto. .. kama kuna loop ambayo watu waliitumia kufunga kamba na kuvuta basi ni tamaa yake ya kupata mafanikio makubwa kisiasa ikiwepo kuongoza CDM na kuwa raisi. Zilikuwa ndoto nzuri, lakini zilitakiwa zichukuliwe kwa umakini mkubwa. Kwa bahati mbaya Zitto hakuliobserve hilo na "wabaya wake" wakalitumia effectively and successfully kumshusha chini... najua atapanda.. but itamchukua mda kidogo.
Kinachonisikitisha ni kwamba Zitto ana team-up na watu ambao ni wazi kabisa hawana uwezo kufanya siasa... inanisikitisha sana... Zitto alishajenga sana CV yake na naamini angeweza kuaminiwa na watu wanaojua siasa wakafanya siasa..
Zitto sio wa kuunda team na akina Mchange... never. Ni sawa na Christian Ronaldo leo aamue kuunda team yake kama captain, alafu kwenye bench la ufundi amuweke Jamhuri Kiwelu!!!
Kwa kesi iliyoko Mahakamani hata kipofu anaweza kusoma maandishi ukutani kwa usahihi....CHADEMA haiwezi kushinda kwenye hii kesi. Lakini kwa mbinu imeweza kumzidi kete Zitto maana hukumu itatoka katika muda ambao Baraza Kuu alilolitaka litakuwa limeishaondoka Madarakani na kukabidhi kwa Baraza jipya. Hivyo hata ikiamriwa rufaa yake ikasikilizwe ndani ya chama na chombo kinachoitwa Baraza atapigwa mabao ya Brazil Vs German. Kwa hili Zitto lazima akubali bado ni mchanga kwenye siasa za kimikakati akijilinganisha na Mbowe.