Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

kwa mtu anayekipenda chadema na kuitakia heri siasa ya upinzani tanzania, ni bora chadema wayamalize na zitto kwa mustakabali mwema siasa za upinzani waombane misamaha yaishe, maisha ndivyo yalivyo.
 
Kumrudisha huyu mnafiki chadema ni sawa na kuona nyoka ameingia ndani kwako ukamwacha eti utamuua baadae
kuna vijana wengi wenye uwezo km wazito.
Wala asidhani yy ni spesho km anavojidanganya
............
Nimecheka sana,eti tumekula chips na mbowe,anajenga picha kuwa Mbowe alikuwa na life la kuunga kuunga ama?
Hapo yy ashukuru tu,mbowe ni mstaarabu sana,kwa kuwa karibu na mbowe tena akiwa mwanafunzi kanufaika na mengi japo sijawahi kumwona mbowe akijisifia kwa hilo
kikubwa msaliti ni msaliti tu,simba akishakula nyama ya binadamu hawez kuacha,ni hadi simba awindwe auawe.
Yy ajifananishe hata na mandela acha huyo wazir mkuu wa malasiya hawez kubadili ukweli
yy aende akahiji alififia Yesu bado ukweli haubadiliki.
Yy ahamie ccm au tawi lao act,bado atazidi kuwa ni msomi asiejitambua,mnafk,msaliti,mbnafsi
hafai hata kuwa balozi,km unaweza kudanganya kwa ngazi kubwa kiasi hicho,ukipewa madaraka makubwa itakuwaje.
I hate this dude sema basi tu
 
Binafsi naiona ni dalili ya ukomavu kwa Zitto. Ameeleza hali halisi baada ya tafakali ya kina. Hii ni changamoto kwa Mbowe. Naye anyoshe mkono wake wa kuume apokee salaam ya Zitto. Ni uungwana tu.
 
Zitto, ni kazi rahisi tu. Mbona Kafulila aliomba msamaha n kasamehewa na sasa anafanya vizuri tu kwenye chama chake? Maliza tofauti mkuu urudi kundini maana umepotea sana na sioni dalili yoyote ya kuinuka kwako

Naunga mkono hoja.

Mh Zitto aombe msamaha, CHADEMA nao wasiwe wazito wamsamehe Zitto. Umoja ni Nguvu!
 
Hongera sana akina Mchange na Ludovick. Bosi wenu anawaamini eti mna hoja sana.
 
kwa mtu anayekipenda chadema na kuitakia heri siasa ya upinzani tanzania, ni bora chadema wayamalize na zitto kwa mustakabali mwema siasa za upinzani waombane misamaha yaishe, maisha ndivyo yalivyo.

Zitto angekuwa mkweli angezingatia timing, Lakini kwa kuwa lengo lake ni usaliti na kuharibu atmosphere chamani amefanya tena Kosa kubwa kuanza kusema haya siku chache kabla ya uchaguzi mkuu.swali! Alikuwa wapi kuyasema haya?????????
 
Duh kuongea kwa uchungu sana, kweli tusishangae huko mbele Zitto akiungana na Chadema kwa namna yoyote ile.
 
Kwa Mara ya kwanza kumsikia akijutia naamini ni baada ya kuona hakufanikiwa kwa yale aliyokuwa amepania
 
Kwa Hiyo Kama haafikirii kuhama Chadema ..tumuelewe kuwa Wafitini ni Kina ...Kitila Mkumbo...na wenzake...wa ACT?
 
kwa mtu anayekipenda chadema na kuitakia heri siasa ya upinzani tanzania, ni bora chadema wayamalize na zitto kwa mustakabali mwema siasa za upinzani waombane misamaha yaishe, maisha ndivyo yalivyo.

Utakuwa unaota ndoto za abunuwas wewe,cdm haina muda wa kuongea na wasaliti na isitoshe wana chama chao ambacho majuzi walikuwa hapa MAGU,aibu waliyoipata hawatasahau! Teh teh teh
 
Siasa chafu haziwezi kuwavusha.

Mchavu yeye aliaye kwa kuvuliwa nyadhifa, akawaulize wenziwe faida ya unafiki kwani aache kulialia. Ukisaliti CHADEMA lazima uumie nenda kamuuliza Nakaya Sumari.
 
Zitto hajatambua hadi leo kuwa hana nasaba za Kanda ya Kaskazini
 
Mchavu yeye aliaye kwa kuvuliwa nyadhifa, akawaulize wenziwe faida ya unafiki kwani aache kulialia. Ukisaliti CHADEMA lazima uumie nenda kamuuliza Nakaya Sumari.

Kafulila aliitwa sisismizi leo chadema wanafanya nae kazi
 
Aaaahhh mbona kama anauma na kupuliza nikisoma between the lines.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…