Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

nimefurahishwa sana na hiyo shukrani uliyoitoa kwa mahakama .
 

Unasema chama kiwadhibiti kwani chama ndiyo kinawanunulia watu bundle la kuingia JF?
 
ndio maana siku zote na deal na yericko, tumaini na ben sa 8. Hawa wanatuhalibia chama. Nashukuru makene anaakili kaelewa siyo kama hili zuzu li yericko.

Wewe nawe ni miongoni mwa wasiojielewa, kwani na wewe una mchango gani CHADEMA?
 
kinyesi.

 
yericko ana stress za kutoswa chadema. ni mganga njaa mpaka mbowe amemchoka

Mwenzake Mohamedi Mtoi ametoboa,toka Mwalimu wa shule ya msingi hadi kuwa mesenja wa Dr Slaa.Juzi tu alitumwa akawaite viongozi wa shura ya maimamu.
 
Ahahaha hahaha! samahni mkuu wangu imenitoka tu silidhani..
Apology accepted wacha nikupe hesima yako kama mkongwe wa jukwaa hili unavyotakiwa kuwa addressed Mkuu Mkandara....tunaendelea.

Hapa unachanganya CCM sera yake kuu mpaka budget iliyopita ilikuwa ni kilimo kwanza nguvu nyingi zimeelekezwa kwenye mabwana shamba, mafunzo ya kilimo bora na menginio yenye kuzalisha zaidi ili mkulima apate mavuno bora na yenye tija.

Kuna watu wanaweza kataa mafanikio yake lakini ulimwengu unatambua ni sera bora iliyotokea africa kwa muda mrefu majuzi nilikuwa nasikiliza interview ya Governor alieenguliwa wa Benki Kuu ya Nigeria 'Mallam Sanusi Lamido Sanusi' kwenye kipindi cha 'HardTalk' kitu alichokitaja kama njia kuu ya ku-propel growth in Nigeria which is inclusive alitoa mfano wa sera ya kilimo EA ambapo unajuwa mlengwa alikuwa Tanzania na kilimo kwanza, akataja changamoto ambazo jukwaa la biashara kutwa watu wanaongelea hila wavivu nao wale awapendi ku-debate wakati mwengine. Maswala yenyewe yalikuwa ni kukosekana kwa soko na changamoto zingine; akaendelea kusisitiza wamejifunza sana kwenye ubora wa sera na wao wanataka kukopy hila mambo yale yale tunayosema sisi kuhusu miundo mbinu, soko, secondary production lazima wayazingatie, truth of the matter hiyo ndio baseline policy anayopendekeza kwenye uchumi wao kwa sasa.

Sasa basi katika implemention ya kwenye hiyo sera ya kilimo katikati kuna mawakala wazushi wa mbolea, wafanyakazi wa serikari matapeli, uchakachuaji wa mbolea kila sehemu kuna matatizo yake aina maana wabunge ku-question uzembe uliotokea jimboni kwao ndio ku-fail kwa sera nzima, in short mambo kama hayo ni kwenye kila sector ya wizara ikiongozwa na ya elimu kutwa kuna utata kule.

kwa hivyo kuna tofauti kubwa sana kuhoji kama delegate kwa kile ambacho unaona wale unao wawakilisha kimewagusa directly na pale unapotoa hoja ambazo zakukosoa serikari au kuiweka accountable as in matter of ufisadi halafu kukataa group efforts hili uonekane wewe mwenyewe ndio unajua kuikosoa serikari zaidi hata kama ni mawazo yako ili kukipaisha chama chako it is commonsense wapiga kura wajue CDM inafanya kazi kwa pamoja na sio mtu mmoja.

Mie sikuhizi wala sijali nani kasema nini tena sasa hivi nataka kuilewa big-result now nione utekelezaji wake maana zile sera ambazo IMF/World bank wanazopewa ndio nguvu ujue zinaelekezwa zingine CCM wenyewe wala awajali nani kafisadi wapi na wala wahusika awafungwi despite PCCB, Takukuru, Mahakama and all the existing regulatory and supervisory bodies ndio maana naamini swala hili linahitaji raisi kijana.

Hakuna mahala nimesema Mbowe jembe (looh salalee) lakini pia siwezi kukataa skills zake za uongozi unaweza kuona despite level yake ya elimu anaweza waweka Mbatia na Lipumba nyuma yake that tells you about his ability to command and winning people over.

Unapo ongelea maswala ya kupeleka hoja bungeni lazima ujue nani anaetoa hoja na inalenga nini, kama mmbunge anatetea maslahi ya jimboni kwakwe hiyo inakuwa inasukumwa na personal motive, kama ni swala la kukosoa sera za serikari especially kama ni mmbunge kutoka upinzani anatakiwa atoe credit za timu kuwa wao wanadhani wangefanya nini (ata kama wazo limetoka kwa mtu mmoja), vilevile kuna wabunge wanatoa hoja za kutumwa na makampuni kwa sababu hayaingii bungeni na kuna sababu nyingi za motions, lakini huwezi kuchukua credit ambazo zinastaili kuwa za timu useme ni mimi that is just selfish.
 
Chadema kimebakia na wahuni mtu kama Yericko ndiyo msemaji wa Chadema.
 
Mwenzake Mohamedi Mtoi ametoboa,toka Mwalimu wa shule ya msingi hadi kuwa mesenja wa Dr Slaa.Juzi tu alitumwa akawaite viongozi wa shura ya maimamu.

hahahahaha.. Mtoi kweli aisee kala shavu leo aliandaa mkutano wa wajumbe mlimani city,, vihela vya kukodisha ukumbi na vinywaji atakuwa amepiga piga..Mambo yanamnyookea.
 
Kweli eriko we ninoma umegusa tu kidogo wake wote wa zero wamekuja kuku shambulia.
 
Kweli eriko we ninoma umegusa tu kidogo wake wote wa zero wamekuja kuku shambulia.

Mkuu Yericko ni tishoo kwa magamba na misukule ya magamba ona ilivyokuja mbio mbio hahaha mpaka raha
 

Zitto ni chuma cha reli ya mjerumani kilichoshindikana kwa sumu,ajali na hata kwa nguvu za giza toka kwa wahafidhina,zitto ni zaidi ya misukule yoooooote ya ufipa+wahafidhina wao.

Mtachonga sana kuhusu Zitto lakin ni sawa na kuukimbiza upepo.

Yericko yaani ka uchaguzi kadogo tu ka chadema kigamboni umepigwa chini? Sasa ni uchaguz gani hapa duniani utashinda?

Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza kutiliwa shaka na wanachama wa CHADEMA ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea kuibuka maneno ya chini kwa chini kuwa anakisaliti chama.
Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka. Ifahamike kuwa chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24. Baada ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe
 
Zitto hana sifa,uwezo,ukomavu hata wakuiongoza Mwandiga bila kuwa chini ya watu wenye akili yenye nguvu ,ngumu, yani hawezi kujiongoza yy mwenyewe bila watu wa kumdanganya danganya hiv na yeye kukubali .
 

It seems you are the lap dog of the big wigs of CDM. I wonder who are u to have advanced information. This reminds the movies oh God Father, chadema has taken a chapter from that and that is how it runs it's policies. Yerico unatia aibu sana umekuwa kibaraka
 

Zitto ni chuma cha reli ya mjerumani kilichoshindikana kwa sumu,ajali na hata kwa nguvu za giza toka kwa wahafidhina,zitto ni zaidi ya misukule yoooooote ya ufipa+wahafidhina wao.

Mtachonga sana kuhusu Zitto lakin ni sawa na kuukimbiza upepo.

Chambua matukio haya kisha utapata jibu .

Zitto ni maarufu kupita chadema

mkuu yericko kwan kuna nn?


Mazungumzo haya yalifanywa wakati huo Zitto akiwa katika hoteli ya Blue Pearl Ubungo, Mr Zoka alitaka kujua mambo kadhaa kuelekea Uchaguzi mkuu, kwanza alimuuliza "Mr Zitto umejiandaaje, una timu ya kazi?" Zitto akajibu "nipo fiti kiakili na kimwili na nina timu ya kutosha, ondoa shaka juu yangu, kama ipo hiyo hela tumeni tu Ujerumani kwenye ile akaunti, na ningeomba kukutana na mwenyeti wenu (rais JK)" Zoka lijibu "hilo halina tabu nitalifikisha sehemu husika bwana Zitto",
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…