Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Where is he now...??? Hahahahaha.....Mbona anaomba poo.....Hahahaha.....Kwa taarifa yako Zitto ni takataka jalalani..

hujui alipo na CDM ilipo? wewe kwel kilaza-ninyi ndio washaur wa sasa na chopa 3 na viti 3.
 

Unajishushia hadhi Yericko
 
Zitto yupo na ataendelea kuwepo,kamwe huwezi kumfananisha na takataka yeyote ndan ya saccoss ya Dj na Babu!
Where is he now...??? Hahahahaha.....Mbona anaomba poo.....Hahahaha.....Kwa taarifa yako Zitto ni takataka jalalani..
 
Labda atakuja kuwa mwenyekiti wa kikundi chenu cha upatu cha ACT

Tatizo wewe hupigi kura, huna hadhi ya kuwa mjumbe wa baraza kuu,, wewe nafasi yako ni upishi na ufagizi ufipa. Wajumbe ndio watampigia kura Kansas.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…