Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe


Mbona unamjadili aliekufa kwenye kundi la walio hai?
ZZK is carion sio vizuri kuchanganya mambo ya Chadema paoja na huu mzoga.
 
Kwa habari ya zito inatosha,yatosha kabisa,mwacheni aende ndugu zangu,achani Zitto Zuberi Kabwe AENDE.Let him go pls!..
 
Ni wazo zuri Hayo yatafanyika baada ya uchaguzi mkuu wa chama kufanyika...
 
Kama lilifanyika ni mara moja, je suluhisho na ccm wamefanya mara ngapi? Ni mara nyingi sana, tusikatae huu ni udhaifu uliojionesha kwa hawa viongozi hasa kulingana na dhana yao ya kujenga chama.

Huyo Msaliti Kaonywa Mara Ngapi? Toka 2007 amekuwa akionywa na kuendekeza majivuno na kiburi cha kijinga tu,aachane na cdm akaimarishe genge lake la act.kama vipi kaungane naye huko mtuachie chama chetu tuendeleze mapambano.
 
Sikuwa na nia mbaya ndugu zangu ni mtazamo tu,kwani ukigombana na ndugu yako una maana hamtapatana mpaka kifo?
 

Ndio Amekutuma kuja kumuombea Msamaha kwa namna hiyo? Mwambie akaagalie Katiba inasemaje na wewe kabla yakuleta lawamwa kwa Mweshimiwa Mbowe naomba utafute katiba ya Chadema inasemaje ndio ulete Umbea wako hapa
 
Nimesema mara nyingi katika mitandao ya jamii kwamba namuona Zitto akiwa na tatizo kubwa (mentality) ya kudhani kwamba yeye ni mtu pekee, mwenye akili ya kipekee, na bila yeye hakuna linaloweza kufanikiwa. Hata huko nyuma nilimlinganisa Zitto na mchezaji mpira mzuri lakini mwenye tatizo la kudhani ili timu yake ishinde ni lazima yeye ndie afunge goli. Nilisema mchezaji wa namna hiyo mara nyingi anaweza kuikosesha timu yake ushindi kwa kuwa kuna wakati angetakiwa ampasie mpira mchezaji mwingine mwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga goli lakini kung'ang'ania kwake kutaka yeye afunge kukaifanya timu ikose goli muhimu la ushindi.

Sasa leo magazeti (Mwananchi) yanamnukuu Zitto akisema “Simwoni mwingine anayeweza kuiongoza nchi hii kwa sasa zaidi yangu"

Binafsi naona kauli hii ya Zitto ni matusi kwa Watanzania wengine wote ambao wana akili zao lakini hawana nia wala mpango wa kugombea uraisi. Na ndio mentality iliyomletea matatizo Chadema. Yaani Zitto anatuona Watanzania wote ni mbumbumbu tusiojua uongozi ila yeye ndie mwenye akili sivyo? Na hili ni tatizo si kwa Zitto tu, bali hata baadhi ya maraisi wetu na mawaziri ambao wanadhani kuwa katika nafasi walizonazo ina maana wana akili zaidi ya Watanzania wote au watendaji wote katika Wizara zao.

Watu wenye mtazamo uliopotoka kama huu hawafai hata kupewa nafasi ya ubalozi wa nyumba kumi au udiwani.
 
Hakuna Dhambi mbaya kama dhambi ya Wongo na Unafki ukiwa mnafki ni sawa na sumu isiyokua na tiba
 
yah hata mimi nilipoisoms hii statemet nilishtuka kidogo. Ni arrogance ya hali ya juu! Mtu anayejiona kwamba ni yeye tu anafaa kuongoza ni tatizo!
 
Nasikia anajivunia UCHAWI... ana chale mpaka kwenye masaburi zimejaa na sasa waganga wa kienyeji hurudishia CHALE mpya kwenye CHALE za zamani...
 
Zitto huwa hapendi kuongozwa anataka yeye tu ndiye aongoze sijui ana matatizo gani! Zitto a little humity won't hurt! Be humble!
 
Anadai ni muadilifu asiyetiliwa shaka huku kila siku yupo kwenye magazeti ya udaku na wasanii wahuni!
 
Ndio Amekutuma kuja kumuombea Msamaha kwa namna hiyo? Mwambie akaagalie Katiba inasemaje na wewe kabla yakuleta lawamwa kwa Mweshimiwa Mbowe naomba utafute katiba ya Chadema inasemaje ndio ulete Umbea wako hapa

matusi ya nini mkuu
 
Sasa leo magazeti (Mwananchi) yanamnukuu Zitto akisema “Simwoni mwingine anayeweza kuiongoza nchi hii kwa sasa zaidi yangu"
Hii ndio ile single aliyotoa na Linex au?
 



Ni mlemavu wa kufikiri.
Anakariri mambo kama alivyoweza kukariri shuleni.

Uongozi ni karama, kipaji maalum.
Hajui kutofautisha kuwa msemaji na kiongozi.

Anaweza kuongea kwa kusikika ambako unaweza kujifunza kama waandishi wa habari wafanyavyo.
Lakini huyu dogo kashindwa kujua kama huwezi kujipima kwa maneno badala ya vitendo. Angekuwa kiongozi bora asingeweza kuwa chanzo cha kuwagawa wanachadema kwa mikono yake mwenyewe ya waraka wa uroho wa madaraka.
Alishindwa kupambanua uwezo wake na kuujengea tija na badala yake akaamua kuja kimapinduzi tena ya kisiri.

HAJUI KUFIKIRIA. MLEMAVU WA AKILI.
 
TOTO JINGA WEWE!
Warudishe kondoo wote uliowapeleka ACT ndipo upate msamaha kwa wananchi na mbinguni pia.
Unafanya ujinga halafu unakimbilia maka badala urudishe kwanza ulichokitawanya!

Jogoo keshawika hapa, utajinyonga na uule hadi utumbo wako.
Mwambie mwigamba na Kitila wajutie pia ujinga wao japo Kitila alikiri siku ya kuvuliwa uachana ila mwigamba na ww mlishupaza shingo.

Nyinyi na mwigamba ni wabaya kuliko hata ccm.
Dhambi ya uasi husamehewa ila majeraha hayaponi milele, Mkumbukeni rusifa ambae ni shetani kwa sasa.

WARUDISHE KONDOO WOTE MLIOWAPOTEZA AKINA SHONZA NA WENGINE WENGI.

Mwambie Kansa kama na yeye anafikiria kwa kutumia akili ya watu wengine ambao niwafitini.
Atubu na aache ujinga huo.
WOTE MTUBU NA MBATIZWE UPYA NA SYO KUSEMA TU ETI BAADA YA KESI MTAENDELEA NA UJINGA WA KUFUNGUA VICHAMA VINGINE VINGI NA KUWASUMBUA WANCHI KUWATANGISHA.

Mtubu na kuacha ili mpate msamaha wa kweli.

Vyama vya siasa ni vingi sana ambavyo vinahitaji kupunguzwa/Kuviunganisha ili vibaki vichache na imara ama kimoja.
Maana mnavipa kazi kubwa sana vyama vikuu kuvinyang'anya wapiga kura na kuchelewasha serikali yenye mapinduzi na nikwasababu mnahitaji umaarufu wa kijinga na uroho wa kila mtu anahitaji kuwa mwenyekiti ama rais kisa amekuwa maarufu sana ama anaweza kujenga hoja. Uliambiwa na nani ukiweza kujenga hoja uwe rais? Jitahdi kufikri tofaut kidogo ili uone kama hutaleta tija.

Eti unapenda siasa za hoja! nani huwa hana hoja? Tatizo lako ni kulazimisha ujuaji kwa kila kitu na misimamo hata kwenye mambo ya kijinga kisa umesema wewe.
Ni mambo yakizamani kuonekana uko tofauti kimtazamo na wenzio halafu unaamua kukimbia badala ya kujishusha ili ujue ni wapi wenzako unawacha na uanzie hapo ili uwafikishe unapohtaji, na hiyo ndiyo njia ya msomi.

UNAKWENDA KUFANYA YALEYALE YA MREMA KUHAMA CHAMA CHAKE KISA ILI AONEKANE ANAUWEZO.

MMESHINDWA KUJIFUNZA MAKOSA KWA WENGINE HADI NA NYINYI MKOSEE PIA BADALA YA KUJIFUNZA KUTOKANA NA MABADIRIKO. MNAFANYA MAKOSA TENA KWA NAMNA ZILEZILE!?? ETI MSOMI!

WARUDISHENI KONDOO WOTE ILI TUWANYANG'ANYE CCM NCHI YETU.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…