Zitto umewaponza Machali na Mkosamali

Kitendo cha zzk kuwashawishi waliokuwa wabunge wa Nccr ili wajiunge ACT na kugombea ubunge huko limekuwa ni pigo kwa vijana hao na sasa wanalazimika kurudia matapishi yao kwa kurudi ccm,zzk punguza tamaa ya fisi
No correlation
 
Hebu hangaika na dr mashinji wako ww kila siku zitto je anakusaidia nn kama ushajua msaliti na majina yote mabaya sasa unamjadili nn ww unaifanya cdm ionekane ya kipuuzi sana
 
Kitendo cha ZZK kuwashawishi waliokuwa wabunge wa NCCR ili wajiunge ACT na kugombea ubunge huko limekuwa ni pigo kwa vijana hao na sasa wanalazimika kurudia matapishi yao kwa kurudi CCM, ZZK punguza tamaa ya fisi.
Felix hakuhama Nccr
 
Back
Top Bottom