Zitto umewaponza Machali na Mkosamali

Zitto umewaponza Machali na Mkosamali

Kitendo cha ZZK kuwashawishi waliokuwa wabunge wa NCCR ili wajiunge ACT na kugombea ubunge huko limekuwa ni pigo kwa vijana hao na sasa wanalazimika kurudia matapishi yao kwa kurudi CCM, ZZK punguza tamaa ya fisi.
Mwanasiasa anayepelekwa tu bila kutumia utashi na akili zake ni hatari sana na hafai kuongoza watu. Wacha hili liwe fundisho kwa wengine wa namna hiyo!
 
Mdogo wake mkosamali ndio yupo Act na aligombea kupitia chama cha Act na akagawa kura mpaka kaka yake akakosa ubunge na kwenda kwa mgombea wa CCM.Felix mkosamali bado yupo NCCR Mageuzi katulia na sasa anaongeza Elimu.
 
Hebu hangaika na dr mashinji wako ww kila siku zitto je anakusaidia nn kama ushajua msaliti na majina yote mabaya sasa unamjadili nn ww unaifanya cdm ionekane ya kipuuzi sana
Act njaa kali sana
 
Kitendo cha ZZK kuwashawishi waliokuwa wabunge wa NCCR ili wajiunge ACT na kugombea ubunge huko limekuwa ni pigo kwa vijana hao na sasa wanalazimika kurudia matapishi yao kwa kurudi CCM, ZZK punguza tamaa ya fisi.

Edga Mkosamali - ACT Wazalendo alikuwa CCM by Early 2015
Felix Mkosamali - NCCR Mageuzi
 
huku kwetu wamebomoa kijiwe cha ACT na bendera wameiiba nilichokijenga mwenyewe wkati nataka udiwani, wameniudhi sana,
 
Back
Top Bottom