Zitto umewaponza Machali na Mkosamali

Zitto umewaponza Machali na Mkosamali

ACT/CCM B bado ipo mikoani? Nafikiri chama kimebaki Kigoma tu, bwana mdogo Mchange aliropokaropoka na kusumbua sana mtaani kumbe ni pesa ya kupewa na msaliti namba moja, sasa hivi mchange hasikiki tena labda mpaka 2020 endapo Juma atawakumbuka
Huyo sasa hivi amebaki ni mzee wa fitina tu
 
Kitendo cha ZZK kuwashawishi waliokuwa wabunge wa NCCR ili wajiunge ACT na kugombea ubunge huko limekuwa ni pigo kwa vijana hao na sasa wanalazimika kurudia matapishi yao kwa kurudi CCM, ZZK punguza tamaa ya fisi.
Kuna rafiki yangu ni Muha wa kigoma alishawahi kuniambia inchi hii mjinga namba moja ni muha kwa sababu mha unaweza kumdanganya hata Mara 100 akabadirika hawana msimamo ni kama bendera.
 
Kitendo cha ZZK kuwashawishi waliokuwa wabunge wa NCCR ili wajiunge ACT na kugombea ubunge huko limekuwa ni pigo kwa vijana hao na sasa wanalazimika kurudia matapishi yao kwa kurudi CCM, ZZK punguza tamaa ya fisi.
Mkuu Mmawia yule aliekuwa Mheshimiwa ni akili yake tuu....
ZZK alipiga zumari watu hao [emoji124] [emoji124] [emoji124] nyuma yake.
 
Kitendo cha ZZK kuwashawishi waliokuwa wabunge wa NCCR ili wajiunge ACT na kugombea ubunge huko limekuwa ni pigo kwa vijana hao na sasa wanalazimika kurudia matapishi yao kwa kurudi CCM, ZZK punguza tamaa ya fisi.
siku zao ni km za mzee wa upako. Mungu wa kweli huwapa Kitanzi wajimalize wenyewe ktk mazingira hakuna cha kuwaokoa.
 
Back
Top Bottom