Mkuu ungenitolea mfano wa mtu mwingine ningekuelewa, huyo unomsemea hapo sijawahi kumuelewa hata sekunde moja, hivi yupo wapi mcubic? mtoto ana tabu sana huyo kupenda vya kutelezaUkiona hata afande sele kakimbia ujue hali ni tete na mcubic sasa hivi atahamia ccm
Sio kweli Huyo aligombea ACT alikuwa ndugu Yake tumbo mojaUwe unafatilia mkuu, sio kukataa tu mkosamali alijiunga na ACT mapema sana na aligombea ubunge kupitia ACT
Kama Roho mbaya haka kajitu[emoji57] [emoji57] [emoji57]Kitendo cha ZZK kuwashawishi waliokuwa wabunge wa NCCR ili wajiunge ACT na kugombea ubunge huko limekuwa ni pigo kwa vijana hao na sasa wanalazimika kurudia matapishi yao kwa kurudi CCM, ZZK punguza tamaa ya fisi.
ha ha ha mkuu heshima kwako, umeufanya mchana wale kuwa murua kabisa, asante
Felix Mkosamali
Christina Buyogela
Moses Machali,
Michango yenu bungeni imeacha alama,hope siku moja mtarudi
Oooh kumbe wewe ni wa ijumaa no wonder upon ATC . Ref. Nyota ya kwenye Bendera ya actHuna jipya ngoja twende ijumaa tukuombee ww na mkulu wako
Mdogo wake mkosamali ndio yupo Act na aligombea kupitia chama cha Act na akagawa kura mpaka kaka yake akakosa ubunge na kwenda kwa mgombea wa CCM.Felix mkosamali bado yupo NCCR Mageuzi katulia na sasa anaongeza Elimu.
Alichezea bahati wakati yupo chadema alipogombea ubunge mwaka 2010,tamaa ya pesa ilimponza.ACT/CCM B bado ipo mikoani? Nafikiri chama kimebaki Kigoma tu, bwana mdogo Mchange aliropokaropoka na kusumbua sana mtaani kumbe ni pesa ya kupewa na msaliti namba moja, sasa hivi mchange hasikiki tena labda mpaka 2020 endapo Juma atawakumbuka
ahahahhah wewe mtani wa Lizaboni mbona hivi hahahahahahahh: aliwania ubunge Morogoro mjini huyo, kura zingetosha angekuwa ndio mbunge wa Morogoro mjini hahahahahah