Zitto: Ukaguzi maalumu wa posho za safari ni hatua muhimu na nyeti kuweka uwajibikaji

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,849
2,000
''Kashfa ya matumizi mabaya ya posho za safari ni kubwa sana sio tu miongoni mwa wabunge bali pia kwenye Serikali nzima. Ukaguzi maalumu wa posho za safari utaibua mengi ya aibu na kusaidia nchi kuokoa fedha nyingi za umma zinazofujwa. Ni hatua muhimu na nyeti kuweka uwajibikaji kwenye fedha za umma'' hii ni kauli mh zito kabwe
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,758
2,000
CAG utamkuta mwenyewe ndio mpokea posho za NASSF,LAPF,TANAPA kisiri asimwambie wakague amwambie amkague na yeye
 
Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
15,723
2,000
Ngoja waje gongo fc waanze kumshambulia zitto badala ya kujadili hoja. Ccm na chadema wote wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Ukiwanyang'anya tonge mdomoni lazima wakuandame.
 
theROOM

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
946
250
Wewe ZZK huku ni kutupotezea muda tu, kwani huyo CAG huwa anafanya ukaguzi wa vitu gani sasa kama hizo posho hakagui?

Kesho utamwambia afanye ukaguzi wa fedha za mafuta ya magari, keshokutwa fedha ya chai maofisini.... Hivi ukaguzi anaoufanya CAG huwa ni wa vitu gani? Hizi sarakasi tu, hamna lolote
 
Mimibaba

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
4,558
1,195
''Kashfa ya matumizi mabaya ya posho za safari ni kubwa sana sio tu miongoni mwa wabunge bali pia kwenye Serikali nzima. Ukaguzi maalumu wa posho za safari utaibua mengi ya aibu na kusaidia nchi kuokoa fedha nyingi za umma zinazofujwa. Ni hatua muhimu na nyeti kuweka uwajibikaji kwenye fedha za umma'' hii ni kauli mh zito kabwe

Itaibua aibua hata kwa serikali ya CCM
 
assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,849
2,000
wewe zzk huku ni kutupotezea muda tu, kwani huyo cag huwa anafanya ukaguzi wa vitu gani sasa kama hizo posho hakagui?

Kesho utamwambia afanye ukaguzi wa fedha za mafuta ya magari, keshokutwa fedha ya chai maofisini.... Hivi ukaguzi anaoufanya cag huwa ni wa vitu gani? Hizi sarakasi tu, hamna lolote
subiri dawa iingie vizuri unamtetea mbowe sio
 
manning

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
3,524
1,250
huyu dogo baada ya kupigwa za Uso na Werema sasa na kujidai atajibu mapigo halafu baadae akauza nafasi kwa Wenje , WENYE AKILI TUKAJUA YAMETIMIA. Dogo vuta subira ama sivyo utapata kichaa.
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
7,939
2,000
Amalize kwanza yale aliyokwisha anza kabla hajaaza hili jipya.
Huu ujinga alliozoea kutufanyia watanzania ushafika mwisho!
 
Talibani

Senior Member
Jul 31, 2013
136
0
Hamna kitu tatizo wabunge wetu woote ni njaa ambae hajapata posho anamuonea wivu aliepata sote tunajua kazi ya wabunge ni kula posho hamna kazi wanayo fanya ni mipasho tu........bora ata ya mwalimu anafanya kaz....
 
assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,849
2,000
huyu dogo baada ya kupigwa za Uso na Werema sasa na kujidai atajibu mapigo halafu baadae akauza nafasi kwa Wenje , WENYE AKILI TUKAJUA YAMETIMIA. Dogo vuta subira ama sivyo utapata kichaa.
jibu uzi mbowe kutumia madaraka vibaya kwa sababu ya penzi la joyce zito anaingiaje we mburula
 
STEIN

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
1,765
2,000
''Kashfa ya matumizi mabaya ya posho za safari ni kubwa sana sio tu miongoni mwa wabunge bali pia kwenye Serikali nzima. Ukaguzi maalumu wa posho za safari utaibua mengi ya aibu na kusaidia nchi kuokoa fedha nyingi za umma zinazofujwa. Ni hatua muhimu na nyeti kuweka uwajibikaji kwenye fedha za umma'' hii ni kauli mh zito kabwe

Zitto ni Chafu kuliko kiongozi yeyote wa Upinzani kwanza ni msalititi na Mbaguzi mkubwa.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,420
2,000
Hayo Mashirika yeye ndie mkaguzi

Waache hao,uwezo wao wa kuelewa ni mdogo sana ila utakuta thread moja mtu kaichangia zaidi ya post 60 huku haelewi hata mantiki ya akiongeacho. Usicheze na idadi ya post mkuu.
ImageUploadedByJamiiForums1387368922.436085.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom