assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
''Kashfa ya matumizi mabaya ya posho za safari ni kubwa sana sio tu miongoni mwa wabunge bali pia kwenye Serikali nzima. Ukaguzi maalumu wa posho za safari utaibua mengi ya aibu na kusaidia nchi kuokoa fedha nyingi za umma zinazofujwa. Ni hatua muhimu na nyeti kuweka uwajibikaji kwenye fedha za umma'' hii ni kauli mh zito kabwe