Zitto: Ukaguzi maalumu wa posho za safari ni hatua muhimu na nyeti kuweka uwajibikaji

huyu dogo baada ya kupigwa za Uso na Werema sasa na kujidai atajibu mapigo halafu baadae akauza nafasi kwa Wenje , WENYE AKILI TUKAJUA YAMETIMIA. Dogo vuta subira ama sivyo utapata kichaa.
Ukimfukuza sana MJUSI atageuka NYOKA.
 
Zitto anatuona hatuna akili hata kidogo,kwa hiyo hizo posho zitaleta uwajibikaji kuliko hizo za Uswis???
Mbona ZZK anatulazimisha kumtukana aseee?/??
 
Back
Top Bottom