Zitto: Ukaguzi maalumu wa posho za safari ni hatua muhimu na nyeti kuweka uwajibikaji

1520635_565049983570712_1069789711_n.jpg

babu kaisha vibaya dah!
 
Wewe ZZK huku ni kutupotezea muda tu, kwani huyo CAG huwa anafanya ukaguzi wa vitu gani sasa kama hizo posho hakagui?

Kesho utamwambia afanye ukaguzi wa fedha za mafuta ya magari, keshokutwa fedha ya chai maofisini.... Hivi ukaguzi anaoufanya CAG huwa ni wa vitu gani? Hizi sarakasi tu, hamna lolote

Na bado legea mkuu ipenye sindano cha Zitto kwenye mishipa ya wafisadi
 
''Kashfa ya matumizi mabaya ya posho za safari ni kubwa sana sio tu miongoni mwa wabunge bali pia kwenye Serikali nzima. Ukaguzi maalumu wa posho za safari utaibua mengi ya aibu na kusaidia nchi kuokoa fedha nyingi za umma zinazofujwa. Ni hatua muhimu na nyeti kuweka uwajibikaji kwenye fedha za umma'' hii ni kauli mh zito kabwe
naunga mkono hoja ya Mh. Zitto. posho za safari zikaguliwe.
 
Yeye fedha alizopewa na BOT na mashaitwan wa kijani zimekaguliwa?
 
wote watumia tumbo tu wapo pale kwa ajili ya kusaka pesa na sio kutetea maslahi ya nchi na wananchi.
 
1467356_10151888345418401_1442239309_n.jpg

MKEO ANAMJUA UYU HAWARA?????

Mnatapatapa bure,CDM BABA LENU! zile tambo za cdm kufa zipo wapi? mliwategemea mamluki nao wametimuliwa mmebaki kuleta umbea tu ambao hauwasaidii! NAWASHAURI MUACHANE NA CDM MTIMIZE AHADI ZENU KWA WATZ. Vinginevyo 2014 sio mbali mtashikishwa adabu na wadanganyika.Gamba mwenye maskio na asikie!
 
naunga mkono hoja ya Mh. Zitto. posho za safari zikaguliwe.

Muulizeni zile pesa alizokuwa anafanyia maigizo eti anafatilia pesa uswis alizitoa wapi na je zimekaguliwa na nani? ALISHAKUFA KISIASA HUYO KABAKI KUTAPATAPA TU!
 
Naona mbowe alikupa sehemu ya posho yake ndugu YAHAYA na pia JOYCE MUKYA alikuletea bukta kutoka DUBAI. unajiondoa ufahamu kwenye hoja za tajiri wenu, DJ ( mzinzi)

Kama ugaidi ulishindwa ije kuwa hizo porojo? CHADEMA MWENDO MDUNDO TU HADI 2015
 
Na bado legea mkuu ipenye sindano cha Zitto kwenye mishipa ya wafisadi

Huna hoja wewe, kwani kazi ya Internal Auditors ni ipi? Hii issue haihitaji CAG hata kidogo, hii ni misuse of power. Hii issue inaweza kuwa handled na Administration ya Bunge na wala sio CAG. Na CAG nae akiifanya hii ntamuaona hana kazi za kufanya.
 
Muulizeni zile pesa alizokuwa anafanyia maigizo eti anafatilia pesa uswis alizitoa wapi na je zimekaguliwa na nani? ALISHAKUFA KISIASA HUYO KABAKI KUTAPATAPA TU!
huelewi nguvu anayoshindana nayo Zitto. Ni watu wenye fweza za kutisha, wanaweza kumpoteza asipokuwa makini. wewe endelea tu kufanya kazi uliyotumwa na wahafidhina kwani mawazo yako yamekaa kibavicha. we all know.
 
Muulizeni zile pesa alizokuwa anafanyia maigizo eti anafatilia pesa uswis alizitoa wapi na je zimekaguliwa na nani? ALISHAKUFA KISIASA HUYO KABAKI KUTAPATAPA TU!
endelea kujipa moyo. kwani kila mmoja na macho na anaona.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom