To buy acacia at this moment is risky business.Zitto kitu ambacho hajui ni kwamba Acacia bado inaweza kununuliwa na kampuni nyngne tukapga ndege wanne kwa jiwe moja,tukapa tax gain ya tr 1.8 ,plus bil 700 za sasa ,bado tukawa na 50/50 pamoja na 16%,Magu piga kazi baba tuko nyuma yako
Kama ulimsikia bwana J. Thornton, alisema wanazitoa kwa nia njema, labda kutupunguzia makali ya umasikini. Mkuu kasema anataka zilipwe haraka, sasa sijui alichosema bwana Thornton kimekuwa nadhiri?Cha kushangaza hata hizo bil 640 zinatolewa kwa grounds zipi? Tunapoozwa tu au ndio tuliomba "msituache mikono mitupu"
Stock ya acacia ilivyoshuka unadhani bei itakua ileile?
Alafu sasa hivi wanasema tunaenda 50/50 profit usidhani kuna kampuni itatoka nje ije kununua acacia tena. Labda iwe kwa bei ya kutupa ambapo hatutoweza kupata hata hiyo robo ya 1.8.
Kitu kizuri kilichotoka kwenye haya mazungumzo labda ni huko kugawana profit 50/50 na hapo ni kama kila kitu kitaenda sawa, labda na kutuma message kwa makampuni bongo kua Tanzania sasa haitaki mzaha. Japo tumetuma pia message kua hatujielewi so tunafukuza investors.
Upinzani wakijinga sana huuZitto kitu ambacho hajui ni kwamba Acacia bado inaweza kununuliwa na kampuni nyngne tukapga ndege wanne kwa jiwe moja,tukapa tax gain ya tr 1.8 ,plus bil 700 za sasa ,bado tukawa na 50/50 pamoja na 16%,Magu piga kazi baba tuko nyuma yako
Cha kushangaza hata hizo bil 640 zinatolewa kwa grounds zipi? Tunapoozwa tu au ndio tuliomba "msituache mikono mitupu"
Ni kweli kabisa unapokuwa mpinzani si kila jambo lazima jambo upinge kuna mambo mengine unatakiwa kupongeza kwa hili rais amethubutu na faida kubwa inaonekana kwa taifa.Zitto kitu ambacho hajui ni kwamba Acacia bado inaweza kununuliwa na kampuni nyngne tukapga ndege wanne kwa jiwe moja,tukapa tax gain ya tr 1.8 ,plus bil 700 za sasa ,bado tukawa na 50/50 pamoja na 16%,Magu piga kazi baba tuko nyuma yako
Samani Ipi hiyo wakati makinikia yanyewe ilikua licha ya underpriced madini menge yaliyokuwepo kwenye makenikia hayakutajwa? Je kwako ni furaha makenikia yangeendelea kusafishwa tukisubuli hiyo timu yako? Hii nHatuna rais bali mkurupukaji asiyetaka ushauri
Angeachia mchanga huku mazungumzo yakiendelea ila kama kweli tumepoteza hizo trilioni 1.8 kwa kuzuia makinikia then tukapata bilioni 700 tu ni zaidi ya upuuzi na phd zetu ni feki kabisa
Hii kweli Tanzania ya viwondor
Bado hujajibu HOJA yake....Zitto unataka kusema wewe ndio mjuaji kuliko watanzania wote hivi hebu pambana na mazingira ya nyumbani maana nyumba inazidi kuteketea!
Vyovyote iwavyo mabadiliko yaliyofanyika yana manufaa kwa siku zaHizi pesa ni kama zimeombwa angalau kufuta aibu .ndio maana ataa kifungu cha kampuni ya barick cha kuidhinisha kutolewa pesa kilicho tumika ni Good Faith kifungu hiki utumika kutoa misaada .fungu la kumi kanisani na kadhalika .Ndio maana kimetajwa wazi na kwa msisitizo na kampuni ya barick kwa sababu ndicho atakacho tumia kuelezea na kuombea pesa hizo kwa wanahisa wa barick ambao ndio wenye mali .kama alivyo jieleza kwamba anakwenda kupata ruksa baada ya kuwakilisha makubaliano kwa wenye hisa .kwa maana nyingine wenye hisa wanaweza kukataa makubaliano hayo na sii ajabu na mbaya zaidi hakuna kosa walio patikana nalo zaidi ya kwamba tumewatia hasara kuwasimamishia biashara yao .kwa lugha ingine hii ngoma bado mbichii
Wewe ni Lumumba wa Congo eeh!HABARI,
Ndugu wacha kutudanganya watanzania kama toka mwezi march tumepoteza hiyo pesa sasa kwa mwaka mzima utataka kusema tulikuwa tunapata trillioni zaiidi ya trillioni 5 hakuna njiga wa kumdanganya tanzania na kweli magufuli alisema hivi ni vita vya uchumi na bado atawanika machafu yote na uzembe mliokuwa mnaufanya .
Wewe ni JF-Expert Member toka mwaka 2012 miaka yote wakati jamaa wanachukua madini yetu mlikuwa wapi au ndio mlikuwa na mirija humo.
Watu wamebanwa mpaka wamekubali kutoa 50/50 na 16% ya hisa juu jiulize kama toka mwazo wangebanwa kwa mkataba kama huo tungekuwa tumepata kiasi gani cha fedha .Watanzani hatujalogwa ila kuna walafi wachache ambao kwa sasa wamebanwa ndio hawa wanaopingana na matendo ya JPM.
Nyie tukaneni andikeni chochote ila idadi kubwa ya watanzania tuko upande mmoja na Raisi wetu kwa maslai ya nchi Hizo dolla m.300 kama angekaa kimya mngezipata wapi ni zaidi ya bilioni 700tsh,Sasa kwa kuwa nyie ni watu wa kupiga mahesabu vizuri changanueni ni zahanati ngapi hapo zinaweza kujengwa ni pesa ya kulipia wanafunzi wa elimu ya juu karibia miaka 2 ukiongeza hela kidogo hapo.Na bado tunaanza kupata pasenti yetu juu.
Nyie mnaopinga ni nini kingine mnataka Raisi afanye njue ndio anauchungu na nchi yetu .
LUMUMBA