Zitto: Sitagombea uongozi CHADEMA

Zomba tufafanulie tujue yapi yalimkuta bwana ZZK, naona kama uko deep sana na masuala ya CDM
 
Proccm mnapenda kumtumia zitto kuipangalanyisha CDM xaxa mnenoa aibu yenu.........
 
Wewe zitto, acha kujikweza huwezi kupata huo uongozi wa cdm, acha nafasi hizo za wachaga. Uking'ang'ania yatakupata ya mh. Wangwe.
 
Na wewe kama yamekushinda huko Chadema si uhamie kwenye hiki chama kimya?

Mipasho star search imeanza naona mnakipaji ndugu zangu mnakaribishwa
 

Kibano alichokipata wakati alipotaka kugombea uwenyekiti wa CHADEMA, ndio sababu kubwa ya kukaa pembeni safari hii.

Vile vikao vya wazee havikuwa bure, bali viliambatana na vitisho vya kuhatarisha maisha yake. Hali hii iomemfanya Zitto kukiogopa sana chama chake kuliko hata watanzania au hata CCM kAMA WENGI WANAVYOFIKIRI.

Huo ni uamuzi wa Busara, kwani hawa watu wa CHADEMA hawajali maendeleo, hata hivyo usingepata hata kama ungegombea mkwani dDHAMBI YAKO NI KUWA HUKUZALIWA KILIMANJARO/ARUSHA.
 
Bora aache kugombea maana uhusiano wa Zitto na Jack Zoka ni habari mbaya kwa wapambanaji. Uhusiano kati ya Zitto na Jack Zoka ambao uliwekwa wazi na vyombo mbalimbali ni taarifa mbaya kwa wanasiasa na wananchi wanaoipenda taifa lao la Tanzania. Uhusiano huu wa Zitto na Jack Zoka ambaye ni mkurugenzi msaidizi wa TISS (usalama wa taifa) umeripitiwa kuwa na historia ndefu tangu wakati wa uchaguzi mkuu. Wakati Zitto anajitapa kuwa anatetea maslahi ya wananchi, mshirika wake wa chanda na pete Jack Zoka anatuhumiwa na wanasiasa na wanachi kufanya kazi ya kuwadhuru badala ya kulilinda taifa. Kama mshirika wa Zitto anadhuru wananchi ni wazi kuwa naye Zitto ana masalahi binafsi na mabaya kwa wananchi. Maana ukitaka kujua tabia ya mtu, uliza tabia ya rafiki yake. Ni jambo la kusikitisha Zitto kuwa na uhusiano na huyu mfanyakazi wa usalama wa taifa anayedhuru watu na wakati huohuo anajidai kuwa ni mpambanaji. Uhusiano wa Zitto na Jack Zoka ulishawekwa wazi kuwa walikuwa wanawasiliana kwa simu mara kwa mara wakati wa kipindi cha uchaguzi. Tuwe macho na urafiki wao na ambao si mwema hata kidogo kwa wanasiana na wananchi wenye uchungu na taifa letu.
 
Huyu Zitto ni KIGEUGEU, na hisi anatumiwa na ccm si bure
 
Zitto kwanini analazimisha umaarufu huu wa kisiasa kila tukiamka zitto zitto..............
 
Wana JF wenye mapenzi mema kwa CHADEMA, nadhani ni muda muafaka sasa kuanza kutoa maoni kuhusu chama chetu hasa uongozi wake maana uongozi ujao ndio utatupa serikali 2015. kwanza nimpongeze sana Mbowe kwa kweli ameonyesha ujasiri mkubwa na ameongoza chama kwa ujasiri na ukakamavu mkubwa.

Huwezi kuitaja chadema ya leo bila kumtaja Mbowe. Baada ya kazi kubwa na ili kuonyesha chadema kina watu wazuri wengi wanaoweza kuongoza, ningeshauri tu asigombee tena akae pembeni ila abaki kwenye vikao muhimu vya chama.

Nashauri Dr Slaa sasa angeandaliwa kuwa Chairman, Zitto Kabwe awe makamu Bara, atafutwe katibu mkuu msomi mzuri ambaye anaweza kuratibu shughuli za chama kisomi, Naibu katibu pia awe msomi mzuri, tuwe na graduates makatibu wa kila jimbo la uchaguzi ambapo kazi zao itakuwa kufanya uratibu wa chama, hope chadema tutakuwa tumepiga hatua zaidi towards state house. Ni maoni tu. Peoplessssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Una matatizo mkubwa weye!
Mbowe aondoke?
Halafu chama amwachie nani?
 
Una matatizo mkubwa weye!
Mbowe aondoke?
Halafu chama amwachie nani?
Unataka kutuambia kuwa Mbowe pekee ndie anaweza ndani ya Chadema? Chadema ni chama kikubwa kwa sasa nadhani tutakuwa tunaonyesha njia kama tukiendelea na utaratibu wetu wa kubadilishana kijiti hata kama tuna kiongozi imara kama Mbowe. Nyerere alikuwa kiongozo shupavu ila alifika mahali akaonyesha ukomavu wa kisiasa akang'atuka
 
Mbowe bado ni mtu muhimu sana kwa nafas ya mwenyekiti,slaa ni muhimu kwa ukatibu mkuu,labda zito ndo anapwaya,hajishughulishi kabisa na chama.
 
The topic in this thread is badly redundant to for a basis fo a new discussion as at JF today.
 
Maoni yako ni feki, Mbowe elimu alonayo inatosha kabisa kuongoza CDM,wewe yaonyesha humjui Mbowe na CDM. Mbowe ni shupavu, mzalendo, mwaminifu, mhamasishaji na mtu wa watu. Ana umri wa miaka 51 akae pembeni kwa lipi?
 
Slaa hana vigezo vya kuwa Mwenyekiti, kwakuwa si mchaga. Zitto nae pia hana vigezo kwakuwa si wa Kaskazini, si mchaga, na ni muislamu. Labda Selasini au Lema.
 
Maoni yako ni feki, Mbowe elimu alonayo inatosha kabisa kuongoza CDM,wewe yaonyesha humjui Mbowe na CDM. Mbowe ni shupavu, mzalendo, mwaminifu, mhamasishaji na mtu wa watu. Ana umri wa miaka 51 akae pembeni kwa lipi?

Mbowe ana ushupavu wa kuchangisha wananchi vijisenti vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…